Mahindi bora yanapatikana Mbeya mjini

Mahindi bora yanapatikana Mbeya mjini

Mzawa jr

Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
20
Reaction score
14
Pata mahindi bora ndani ya wilaya ya Mbeya mjini, Ilolo sokoni (Isanga).

Gunia tsh. 48,000/=
Debe tsh. 8,000/=

Mawasiliano; +255 763 253 522


5e01091ab7868e9770ddd0756a8df9e6.jpg
 
Mtzmweusi

Inategemeana sehemu uliyopo kiongozi, na hiyo bidhaa kama ile ya zamani au mapya amabayo yametoka kuvunwa. Mahindi tuliyonayo ni ya zamani ambayo yanapendwa na familia nyingi kwa sababu ata unga wake hausinyai au kujifyonza pindi familia ikiutumia kupika ugali.
 
Back
Top Bottom