Mahawara wanasana Guest house

kituuu tengooo...ni rahisi sanaaa,ukiwa mwanaume unasafiri na umuamini ubavuu wako,unachukuaa simee kunaa dua flani unasomaa na maneno kunuiaa,then unatokaa njeee ya mlango ukiwaa umevua ilee alaaa,unamuita waife yeye anasimama ndani we njee kwenye mlango unasikaa alaa yeye kisu au sime,analichomekaa kwenye alaa yake,hakikaa atae kulaa mzigo lazimaa anasee.
 
Ndo muda mzuri huo ni kisingizio kizuri upo kazini na kazini nako unaaga mtoto anaumwa au umefiwa na mwenye nyumba

We si ndo mshauri wa chama kile
washauri ikiwatokea hivi wafanyaje?
 
Can someone with haya maujuzi teach me jamani!Please please ebu PM me jamani, donge nono litatolewa kwa mwenye maujuzi haya!
 
I will believe it when I see it with my own two eyes.
 
Hilo tego linaitwa 'ala'. Mtegaji unapeleka ala na kisu kwa mtaalam, anavinuizia halafu anakukabidhi unasemea majina yote ya mkeo mle kwenye ile ala kisha unaenda nayo nyumbani ikiwa imetengwa ala na kisu mbalimbali. Usiku unaweka ala na kisu chini ya godoro zikiwa zimetengana hivyo hivyo halafu unafanya mapenzi na mkeo huyo uliyemnuizia mkiwa mmelalia godoro hilo ambalo chini yake umeweka tego. Asubuhi unatoa ala na kisu vikiwa bado vimetengana na unavificha mbali ambako mkeo haoni. Siku ukisafiri au mkeo akisafiri au wakati unapokuwa na mashaka ya kuibiwa, unachukua kile kisu unaingiza kwenye ala yake. Yeyote atakayegusa wakati huo ambapo kisu kimo alani atanasa, na mwenye kuweza kutegua ni wewe uliyetega tu, kwa kukichomoa kile kisu kutoka alani. Na kama ukijisahau ukamlala mkeo kabla hujategua, hata mwenyewe utanasa. Na ikitokea bahati mbaya mwenye mke ukafariki wakati tego limefungwa, basi huyo mke haoleki maana yeyote atakayelala naye atanasa. Kama mnataka kujua mitego mingine nilulizeni.
 
Dah Fidel na story zako bana....hehehehehehe
 
Waambie wamwite mzee wa upako awaombee wakati huo wajiandae kutubu dhambi zao na kuyaacha maovu yote ..

Huu mtihani.
 

wamekuwa kama mbwa wanavyong`ang`aniana du hii kali.........sasa wanatembeaje?
 
Bullcrap, hakuna kitu kama hicho. Ndo maana waafrika hatuendelei na mi imani imani isiyokuwa na kichwa wala ubongo.
 
dah hii noma teh teh teh inabidi jamaa aendelee kuikatikia tu mpaka kiu iwaishe
 
Aiseee rahaaaaa yaani jamaa mpaka sasa anafaidi tuu? hahahahahahah yaani ikichomoka na mimba itakuwa imefika siku tatu sasa. Dah hii safi sana sijui niipate wapi mie?
 
We si ndo mshauri wa chama kile
washauri ikiwatokea hivi wafanyaje?

Hapa ikimtokea member wetu mmoja fasta tunacheck na mtaalamu kama profesa maji marefu ikishindikana nacheck na Mwandulami fasta
 
Aiseee rahaaaaa yaani jamaa mpaka sasa anafaidi tuu? hahahahahahah yaani ikichomoka na mimba itakuwa imefika siku tatu sasa. Dah hii safi sana sijui niipate wapi mie?

Teh teh teh mpaka sasa jamaa amekumbatia mzigo hofu yangu akija mwenye mke atataka kula tiGo kwa jamaa ajiandae kwa hilo
 
Bullcrap, hakuna kitu kama hicho. Ndo maana waafrika hatuendelei na mi imani imani isiyokuwa na kichwa wala ubongo.

Watu kama nyie nikuwafanyizia unatoa uume unajikuta una uke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…