MAHARUSI NJOONI HUKU KUMENOGA

MAHARUSI NJOONI HUKU KUMENOGA

Edinam

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
97
Reaction score
38
Punguzo kubwa kwa nguo za maharusi, mashela kuuza ni Tsh200,000/- tu Mapya kabisa. Suti ni Tsh150,000/- Mpya kabisa. Kukodisha mashela ni Tsh100,000/-
Pia tunatoa huduma za chakula kwenye Sherehe bei ya menu inaanzia Tsh 6500/-, tunapamba kumbi bei ni kuanzia Tsh 400,000/-.
Tunakodisha magari ya maharusi na kutoa ofa kama wenye Sherehe watachukua huduma ya chakula na mapambo kutoka kwetu.
Huduma nyingine tunazotoa ni:
MC na muziki, Cake, picha na video, Saloon za kike na kiume na vifaa vyote vya maharusi.
Karibuni sana kwa huduma mzuri na za chakula
Tunapatikana ukonga/njiapanda ya segerea Dar es salaam.
Tupigie. 0715790709 au 0621940560
5e29b633cef0bc303736b672c1d7e2f71be66333_0.jpg
IMG_20190111_162607.jpg
View attachment 1001590
 
Back
Top Bottom