Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 431
- 61
Wanajamii,naomba kwa wale walioa kwa wameru au wanafahamu taratibu za mahari kwa wameru inakuaje?awamu ya kwanza unaenda na nini na awamu zingine ni nini.naomba jappo kwa kifupi tu mpangilio wao unakuaje
natanguliza shukrani
kaka c umuulize huyo mtarajiwa wako au ndo wataka fanya suprise
si ajabu mtarajiwa mwenyewe ni ka wewe, kazaliwa hapo Amana...huko Meru huwa anakuona kwenye taarifa ya habari tena wakati ule mashamba ya walima bange yanavyochomwa moto na polisi...
i love it, nakuona unavyokuja indirect, usijali me nazijua mila zote natoa mkanda mwanzo mwisho, wory out
Wewe tafuta mshenga aende kuulizia kimila, upewe list ujipange upeleke uchukue jiko hilo! Koo hazifanani!