Mahari Zetu Wakurya

Huyo mama sime la kukatia kuni au.......


kujilinda na mumewe mkorofi
si wajua hawa jamaa kwa mangumi ndo
wenyewe? ila sijaelewa bunduki ya nini?
kisha umenicha hoooi mbegu za bange na gongo!!!!!!!!!
hapo umeua bendi wangu:caked:
 
Nimekumbuka, umesahau
1. Rungu la babu
2. Mkuki wa shangazi
3. Mawe ya dada
 
mnaona siiiiiiiiiiiiifa kusifiwa kwa masilaha yenu hayo.......hubirini amani na kuishi upendo!!!
 
Wanaojibu kilugha chao wanatuharibia hali ya hewa coz hatuelewi wanamaanisha nini???????????
 
Wanaojibu kilugha chao wanatuharibia hali ya hewa coz hatuelewi wanamaanisha nini???????????

pole sana , kifupi wanasema haya mambo hayapo ... pia mengi hayajawahi kuwapo. ni story tu kama unayoweza kutoa kwa abiria wakati basi lenu limekwama kabisa kwenye tope
 
mhhh! Majirani zangu kiboko. Mleta mada lazima atakuwa mhaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…