Niaje wana MMU!
Yamenikuta mwenzenu,,, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta,,, wamenipangia Sh Mil 6.2. Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo,,, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui... Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtotto, WE UNAONAJE???????
Hiyo hela ni ndogo kulinganisha na huduma utakazopewa...
Money mongers utawajua kwa miandiko yao. Kijana alipe mahari ya 6m? Ana mda gani kazini? Ana kipato gani? Amewekeza wapi ili apate 6m ya mahari? Watu wenye attitude hii huwa naona hamnazo..!
Unamuongelea mtanzania wa kipato gani we mwanamke? Tatizo itakuwa unahitaji "ready-made" wewe!Mpk kijana afikie kuoa ina maana kajiaandaa,,,,,,,,
Bora niwe hamnazo nipate kuliko kuwa nazo afu nikose
Kuna uwezekano mkubwa wa ukisemacho mkuu,
ila mdau inabdi akumbuke kuwa mahari huwa haimalizwi yote kwa uzoefu wangu.
Unamuongelea mtanzania wa kipato gani we mwanamke? Tatizo itakuwa unahitaji "ready-made" wewe!
Kwa maisha ya kawaida ya mtz wa haki ya kawaida hawezi mudu gharama hizo+sherehe then aanze maisha akiwa vizuri.
Mwanamke mwenyewe yupi wa kumlipia mahari kubwa hivyo, hawa waliotembea na kujaza fuso ndo wakuwalipia 6m? You must be kidding
Huduma gani? kwani unauziwa? yeye atakazo kuja kupata atalipia? au yeye hakuna huduma anazopata?Hiyo hela ni ndogo kulinganisha na huduma utakazopewa...
Huduma gani? kwani unauziwa? yeye atakazo kuja kupata atalipia? au yeye hakuna huduma anazopata?