Mahari yangu ni billioni 1, anaetaka aje

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,112
Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.

Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.

“Mwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,” amesema Faqueen
 
ITAKUA NA TV NDANI 😎
 
Bikra ipo?,anazaa watoto wenye akili na uwezo kama elon musk,billget,netanyahu?,je utamu wake unafanana na bikra 72 za peponi?,je mt akitoa hiyo 1b atakua king wa dunia nzima?,je iyo mbweche ina ulimi ndani yaani nikichomeka itakua inanyonywa na kulambwa uko ndani?
 
Hata haya huna ...Kocho
 
Asubirie wajomba zake na ndonjombi waje wamuoe😁😁😁😁
 
Tuliza Noshom
 
Na pua yake hiyo ya kukandikwa kwa udongo au pua ataweka nyingine?
Vipi bilioni tano hazitaki, kwanini bilioni moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…