Mahari ya Single Mom

Hata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah😥😥😥.
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakaebeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Mkuu punguza kidogo ukali wa maneno Daah, si vyema sana kuwa na maneno makali hivyo
 
Mkuu hivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndio unaenda Oa? Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.

Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.

Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.

Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
 
hata yeye mwenyewe single mother atakudharau kwamba huyu hajaona wanawake wote kaniona mimi
 
hata single mother inawezekana alitoa mimba pia
 
Hivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?

Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…