Moja ya sheria muhimu ya nchi ni PAYE (Pay As You Earn).
Naona nchi yetu inapoteza pesa ambazo zingetumika kununua madawati na kulipa mishahara kwa walimu.
Kuingiza pesa bila kulipa kodi huko ni kuhujum uchumi wa nchi, nadhani mnafaham adhabu ya kuhujum uchumi ipoje nchini kwetu.
Mimi kama
MCHUNGUZI HURU napendekeza TRA ianzishe utaratibu ambapo kila familia itakayopokea mahari kwaajili ya harusi wakatwe asilimia 18 ya pesa hizo.
ASANTENI
MCHUNGUZI HURU