Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Hahahahaahaa unatafuta laana Mpwa sio bure
Teh ukila ukashiba hadi raha akili inawaza hadi yasiyokuwepo....
sijui kwanini hukuwepo enzi zile za kina charls Darwin.
Mi nashauri wakate hadi VAT ya pumzi....
Nimependa wazo lako .....!!
Kwani ndoa ni biashara? Mwisho utaomba na sadaka zilipiwe VAT
Kule Simiyu, SHinyanga, Mwanza, Mara na mikoa ya jirani itabidi wajenge mazizi ya ng'ombe wafungue na mabucha ya kutunzia nyama.
Mahari ngombe 100, TRA wanapewa ng'ombe 18. Kama mahari ng'ombe mmoja, wanapewa mat.ako ya ng'ombe, raha kweli.
Kwani ndoa ni biashara? Mwisho utaomba na sadaka zilipiwe VAT
Nimependa mahari ya ng'ombe mmojaKule Simiyu, SHinyanga, Mwanza, Mara na mikoa ya jirani itabidi wajenge mazizi ya ng'ombe wafungue na mabucha ya kutunzia nyama.
Mahari ngombe 100, TRA wanapewa ng'ombe 18. Kama mahari ng'ombe mmoja, wanapewa mat.ako yNa ng'ombe, raha kweli.
Mimi nashauri
Kuanzia kuwe na kulipia kodi ya kiatu unachovaa kiatu cha bei mbaya ulipie tax kubwa kanadambili shilingi 100 peku peku mwisho barabara ya Msimbazi
kama kumbukumbu ziko sahihi tulikuwa na kodi ya kichwa sijuwi imeishia wapi ile
TRA ni Mamlaka ya mapato tanzania,hakuna neno biashara hapo
Mahari ni pato na linaangukia kwenye kundi ambalo TRA inatakiwa kudai malipo
Upo hapo?