Sitofanya keep change.. Sababu nitaonekana najeuri ya pesa...Khakhaakhaaaaa! athante thana my king.....! Wewe teinaaa najua mahari utamudu tu
Mahondaw wa Smart911
Haaaaaaaaaaaaaaaa tena usinikumbushe sazile Smart911 wangu watu nyakunyaku ohoooooooooooooooo! Bado nakuhitaji my king... Nina mambo mengi sana ya kukufanyia as your queenSitofanya keep change.. Sababu nitaonekana najeuri ya pesa...
Kama leo ulivyoniahutumu mpaka nikakumbia super dear mbona unaongea kwa hasira hivi, kuna nini tena ...
Miss youMwambie aanze na 10000 nyingine atamalizia baada ya ndoa.
Hahaha... Nilishangaa tu, nakupa plans unanishutumu nina jeuri pesa... I was like hey... Why all the panic... Its not about money, its all about time...Haaaaaaaaaaaaaaaa tena usinikumbushe sazile Smart911 wangu watu nyakunyaku ohoooooooooooooooo! Bado nakuhitaji my king... Nina mambo mengi sana ya kukufanyia as your queen
Miss u moo Pritty wa joseph long toka upotee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Miss you
kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
Lazima nikuwe vile bado nakupenda Smart911 mzungu wangu. A muzungu by heart and character you know what i mean..Hahaha... Nilishangaa tu, nakupa plans unanishutumu nina jeuri pesa... I was like hey... Why all the panic... Its not about money, its all about time...
Ndugu yangu mihangaiko ya hapa na pale inatufanya tupotee kidogo, siunajua tenaMiss u moo Pritty wa joseph long toka upotee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo hamtaki kutoa au?
aachane nao,akalimie mpunga atapata gunia 320+,mwakani njaa,atapig hel ya kutoshaKama kipato chake ni kuanzia milioni 24 kwa mwaka (That means analipwa kuanzia M2 kwa mwezi) hiyo Mahari ni affordable kwake. Vinginevyo aombe kulipia nusu then iliyobaki atamalizia kidogo kidogo huku akiendelea 'kumtunza' binti yao...
Lolaachane nao,akalimie mpunga atapata gunia 320+,mwakani njaa,atapig hel ya kutosha
Sasa mkuu, akiachana nao @t@t@mb@ wapi? 🙄aachane nao,akalimie mpunga atapata gunia 320+,mwakani njaa,atapig hel ya kutosha
akaoe kwingine,laki 8 tu,awaache na huyo binti yao mbichiSasa mkuu, akiachana nao @t@t@mb@ wapi? 🙄
Kabisa ila umerudi na hiyo signature hata sielewi kichina gani hicho.Ndugu yangu mihangaiko ya hapa na pale inatufanya tupotee kidogo, siunajua tena
kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
Kiswahili hicho ndugu yangu, muulize mhenga uliyekaribu nae akupe maanaKabisa ila umerudi na hiyo signature hata sielewi kichina gani hicho.
Sasa unataka tamaduni, mila na desturi za watu zufuate mfumo wa kwenu wa kuoa? Mshauri jamaa yako aoe huko kwenu.Angekuja kulia lia hapa?huo ni msingi wa biashara kabisa.
Mimi ni muislam,hayo mambo huku kwetu hayapo.mpaka mkopo unapewa mke.nusu mahari unapewa mke.na wengine mpaka leo wanadaiwa na wake zao mahari hawajamalizia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha umekuwa muhenga kweli kweliKiswahili hicho ndugu yangu, muulize mhenga uliyekaribu nae akupe maana
kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi