Mahari milion 2 na nusu

Hahaa mkuu nimekupa like. Daah watu mnavituko na matukio ya ajabu sana. Lazima ufikie malengo ya kuwa wa kwanza. Umeiwakilusha vema familia yako na kijiji/mtaa wako.
 
Kwani 2M ni kitu gani kwa mtu unayempenda kweli na kama pesa unayo?Tatizo ni umaskini wetu ndo maana tunaishia kupata vitu vibovu kisa kuogopa gharama.Kwanza ni dharau kupewa mke kwa bei ya kulia lia na kubargain kama uko sokoni.
 
Elimu bure maana yake ni kitanda ambacho umekitandika nakukaa na kuongeaongea.

Elimu ni usichafue maneno ambayo unaelekezwa
. tafakari time.
Mimi nimesoma madarasa yote la 7 8 yote nimepita nyumbani ninalima
 
Dah.... safi sana .... Akomae tu alipe.....Kama hawezi avumilie tu kwani miaka
10 ijayo hata bure atamuoa[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Yeuwiiiii hahaha hahaha kwakweli maana kuchukua nafas ya joseverest c mchezo eti....[emoji23] [emoji23] [emoji23]

LOVE ABOVE ALL[emoji173]
 
Sisi kwetu tuna utaratibu wa kumuuliza bi harusi mwnyw uwezo wa huyi muoaji ukoje na hatujawahi kudai mahari zaidi ya laki 7 na pesa ya ikilipwa huwa anapewa bi harusi mwnyw
 
Jana wakati natoka job kuelekea home, njiani nakutana na Sheikh anafungisha ndoa, katika mawaidha yake akawa anawalalamikia dada zetu kutaka maali kubwa , unakuta mtu anaambiwe atoe kiasi cha pesa ambayo tangu azaliwe hajawahi kuishika sana sana anaisikia kwa vyombo vya habari

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Funy

"the highest risk should give maximum profit"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…