GMO- Genetically Modified Organism: is an organism that has had its DNA altered or modified in some way through genetic engineering. In most cases, GMOs have been altered with DNA from another organism, be it a bacterium, plant, virus or animal; these organisms are sometimes referred to as "transgenic" organisms
From google.
Maharage mekundu madogo yanaharibu macho(kupofusha)Ni yale marefu mekundu? Ama mafupi? Ama yale yenye umbo kama njugu mawe lkn mekundu sana?
Nyekundu yote ni mazuri lkn haya maneno mekundu yako kama njugu mawe yana madini na protein nyingi zaidi. Ni adimu kidogo kupatikana
[emoji109][emoji109][emoji109]Mungu kukupatia akili za kujua mema na mabaya na hakukwambia ukajilaze juu ya reli ili treni ikipita ukukanyage na kukuua sababu kufa ni lazima, ondokwa na huo upumbavu ili ufaidi mema ya nchi
hii sikuwa nafahamu ingawa mimi napendelea wanayoyaita combat.Maharage mekundu madogo yanaharibu macho(kupofusha)
isije kuwa kuna vita ya kibiashara nyuma ya pazia kama ya soda flani kuambiwa zina ebora hivi karibuniWee jiulize swali moja tuu umewahi kuona GMO yoyote ikiwa adimu na bei ya juu...?
Sifa za kibiashara ya mazao ya GMO ni wingi na size ikiwa na maana wingi - vinasaba ya uzalishaji vimesetiwa hivyo au muda wa kukomaa umesetiwa ,pili saizi ya kitu kwa wanyama, matunda ,na hata mimea.Na pia inategeme ni kwa kiwango Gani vimesetiwa. Mbali na hivyo tukumbuke kuna selective breeding katika uzalishaji pia.
Duh nkanamna watu mpo deep!!Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Motema nangai yobe izakuye boboto masubi yebo?Nkaanamna soko siisee,kinasubu,roskoko,mke mwema,yee womi kutite nayo kiumbwe[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
isije kuwa kuna vita ya kibiashara nyuma ya pazia kama ya soda flani kuambiwa zina ebora hivi karibuni
Yana gesi sana wala hata siyapendi mimiBinafsi nakulaga haragwe jekundu halisi na ndiyo huwa linaongoza kwa proteins za kutosha ukitoa soya katika vyakula vya mbegu mbegu
Mtaani tunaita maharage ya soya ya njanoHayo maharahe mbona yapo kitambo????? Yana jina lake nikikumbuka nitarudi
Thank you