Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Maharage miti, nani anayajua vizur? Miti yake ni perennial sio kama maharage ya kawaida, mkulima amesema amepata Tanga ila mm nimeona gairo uzuri wake unagrow maeneo ya ukame, swala la pili ni juu ya nutritional value yake jee iko sawa na maharage ya kawaida?