Maharage Chande: Matatizo ya Umeme kumalizika 2025

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,997
Mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Maharage Chande akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari Nchini Tanzania , amesema kwamba Matatizo yote ya umeme yatamalizika rasmi mwezi Novemba 2025 .

Na kwamba baada ya hapo hamtawaita tena Watu wa Tanesco kuwauliza kuhusu masuala ya Umeme , Mh Maharage Chande alikuwa anafafanua jambo hilo huku akiadhimisha Mwaka mmoja tangu aanze kazi ya kulisimamia shirika hilo .

Kwa kauli hii kutoka kwa Ofisa wa Juu kabisa wa Tanesco , tunawaomba Wananchi muendelee kufunga mikanda .
 
Maharage Chande : Matatizo ya Umeme kumalizika 2025 Baada ya Uchaguzi Mkuu.
 
Anamaanisha wanabana matumizi kwaajili ya "kikoba" wanavunja kikoba Nov '25 mzunguko mpya utaanza
 
1668851700237.png
 
CEO wa kampuni yoyote anatakiwa akiingia kazini alete mabadiliko ya tija na uzalishaji.

CEO akifanikiwa kufikia malengo hayo basi aendelee kuhudumu bali akishindwa aondolewe mara moja.

Mwaka 2025 siyo mbali na kwa kauli yake, watu wana matumaini malengo ya CEO wa TANESCO yatatimizwa.

Na kwa wafanyakazi TANESCO wa kufanya kazi kwa mazoea basi mjue bosi wenu wa TANESCO ataondoka na mtu anayeshindwa kwenda na kasi yake ya kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na kuupiga vita utamaduni uliokuwapo kabla yeye hajateuliwa kuwa mtendaji mkuu wa TANESCO

Surviving Your New CEO​

by
From the Magazine (May 2007)

Summary. Reprint: R0705C Almost 50% of the largest American firms will have a new CEO within the next four years; your company could...more
The high turnover of CEOs in the United States affects huge numbers of other executives. At the current rate, almost 50% of the largest American firms will have a new CEO within the next four years. Another 25,000 newly acquired companies will also report to new leaders. If you’re a senior team member in a firm with a new chief executive, your career now depends on the views of a person you may not know. What’s more, your history of successes and failures may not count for much. “Remember that you are starting over,” says the internally appointed CEO of a top-ten U.S. insurance company. “No matter what your track record was—hey, it’s different now.” READ MORE: Source : Surviving Your New CEO

CEO WA TANESCO AKIBAINISHA MIKAKATI YA KUZALISHA UMEME WA KUTOSHA

Source: ITV Tanzania
 
Huyo anafanya kazi kisiasa badala ya kuzingatia taalumayake.
Hovyo kabisa kusema tatizo la umeme litaisha 2025, aseme tu ametumwa kusema hivyo Ili watu wapate kiki kwenye uchaguzi mkuu2025.
 
Back
Top Bottom