MAHARAGE AINA YA SOYA

abiadha

Member
Apr 28, 2019
5
1
Habari wanandugu? Je kwa anaejua kuhusu Maharagwe aina ya Soya vizuri. Ni aina ipi hii ya Maharage ambayo kwa kawaida wengi hatuifahamu

Nimeskia Maharage ya Soya ambayo watu wanayatambua kama soya sio. Je ni Soya ipi hiyo ambayo wengine wanaitambua ni sumu??? Tujuzane na wengine tuifahamu.
 
ngoja waje,,wapo kumpokea shemeji wa taifa the boss lady
 
ni haya 👇
soya.jpg

japo kuna watu hua wanadai ni haya 👇
29402960_362793257556743_6472904645835489280_n.jpg

lakini hawako sahihi.
 
ni haya 👇
View attachment 1088990

japo kuna watu hua wanadai ni haya 👇
View attachment 1088992
lakini hawako sahihi.

Tofautisha soya na maharage ya soya. Picha ya kwanza hiyo ndiyo soya yenyewe yenyewe. Ina nutrients nyingi sana muhimu kwa afya, zaidi ina protein nyingi sana, (zaidi ya mikunde aina zote) yani equivalent to meat. Zao hili hulimwa sana sehemu mbalimbali duniani. Soya baada ya kuvunwa huweza kutengenezwa bidhaa za soya kama maziwa ya soya, nyama ya soya (tofu) nk. Pamoja na health benefits ya soya, kuna controversies pia kwamba ina kemikali kama isoflavones, goitrogens, phytoestrogens etc ambazo zinaweza kuwa hatari kwa afya (so called sumu). Hizi substances zinaondoka kwa kuikaanga au kuichemsha soya.

Na picha ya pili yanaitwa maharage ya soya. Ni jina sijui chanzo chake ila hayo ni maharage, ndiyo yanaitwa maharage ya soya.
 
nimekuelewa vizuri, lakini ile picha ya kwanza kwa kiingereza yanaitwa 'soya beans' ambapo nilitegemea kwa kiswahili ndio yaitwe maharage ya soya au soya kwa kifupi.
Ile picha ya pili ni maharage na yanamajina tofauti tofauti kulingana na sehemu ulipo, niliwahi kuishi nyanda za juu kusini yanakolimwa kwa wingi wanayaita 'kablanketi' kama sijakosea. Sijajua kwanini watu wengine wanayaita maharage ya soya
 
Kwa kweli hata mimi sijajua kwanini yanaitwa maharage ya soya. Ila tukiongea kiswahili ya kwanza ni soya na ya pili ni maharage.
 
Back
Top Bottom