Umemuona lucas mwashambwa?Ma inzi ya kijani yanatafutana sasa 😹😹
Aahh mi nasikia raha bwanaaa 🤣
Tesha anawalalisha na viatu leo
Hivi unajua vagi la mabaka wewe?Umemuona lucas mwashambwa?
Red brigade tena?TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Jambo TV unakanusha kwa nguvu zote taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha picha yenye nembo ya Jambo TV na kichwa cha habari kisemacho “REDBRIGEDI WA CHADEMA AJIFANYA ASKARI WA JWTZ, POLEPOLE AHUSISHWA.”
Tunapenda kufafanua kuwa taarifa hiyo siyo chapisho halali la Jambo TV, wala haijawahi kuchapishwa kwenye majukwaa yetu rasmi ya habari. Taarifa hiyo ni ya kughushi kwa kutumia nembo na jina la Jambo TV kinyume cha sheria.
Jambo TV haina uhusiano wowote na chanzo kilichoeneza taarifa hiyo, na tunaendelea kufuatilia kwa kushirikiana na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe kwa wahusika wa upotoshaji huu.
Tunatoa wito kwa wananchi na wafuasi wa vyama vyote vya siasa kuepuka kusambaza taarifa zisizothibitishwa na kuhakikisha wanapata habari kupitia vyanzo rasmi vya Jambo TV pekee.
Tunaendelea kushikamana na misingi ya ukweli, weledi na uwajibikaji katika utoaji wa habari kwa umma.
Imetolewa na:
JAMBO TV
Oktoba 4, 2025.View attachment 3483387
Mavi yanagonga chupi saiviBaada tu ya lile tamko, naona kila kona kelele zimeanza kusikika. Hali imekuwa si hali.
wala virobotoLeo kwa Vigogo hapalaliki na shida sio kunguni
Ahaha katulia kapigwa na butwaaHivi unajua vagi la mabaka wewe?
Atoe pua yake aone km vyuma havijasebenza 😹😹😹
Shida ni wale wakina ngolo kante na pogba.... Mtu tatu ndani ya track mojaYaani mtu mmoja samia anataka kuingiza nchi kwenye matatizo wananchi hawamtaki kwanini kulazimisha au anataka kuuza nchi huyu au kunamaslahi ya watu analinda asee sijaona king'ang'a kama huyu mama
Na pampasi juu mazeeLeo wanalala na viatu.
Muda wa ukombozi ni sasaTAARIFA KWA UMMA