Mahanga Kumfuata Lowassa

Mahanga Kumfuata Lowassa

Kide

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
74
Reaction score
15
Mahanga kumfuata Lowassa.

Mbunge wa jimbo la Segerea Dk.Mahanga kukatwa na Cc hata kama akishinda kura za maoni kutokana na utovu wa nidhamu alioonesha Dodoma wakati wa kura za maoni za kumpata mrithi wa Rais Jk.

Dk.Mahanga anayesifika kwa rushwa,uzinzi na ulevi hali yake kisiasa ni mbaya kwenye jimbo la Segerea hadi kufikia hatua ya kununua kura za wanachama wa Ccm kwa dau la elfu hamsini kwa kila mwanachama.

Mbunge huyu na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira aliyewakilisha bungeni kwa miaka 15 ameahidi kuhamia Chadema akikatwa na Cc ya Ccm.

Dk.Mahanga amesema hana imani na Rais Jk na anamchukia sana kwasababu kamnyima Lowassa urais wa Tanzania kupitia Ccm.
 
Magamba Yana kazi kweli, mtajamba kwa style zote mwaka huu, lakini habari ya mjini Ni Lowassa Rais mtarajiwa na tumaini la watanzania
 
Auze Nyumba yake ya migombani akajenge kijijini UKAWA tuna wagombea makini na si Huyo aliyemuibia mpendazoe.
 
Mahanha hata akihamia cdm bungeni harudi!
 
kama mzinzi na mtoa rushwa imekuaje akateuliwa kuwawaziri? ccm aibu tupu nyway tushafanya usajili segerea huyo jamaa hana nafasi tena
 
Mahanga kumfuata Lowassa.

Mbunge wa jimbo la Segerea Dk.Mahanga kukatwa na Cc hata kama akishinda kura za maoni kutokana na utovu wa nidhamu alioonesha Dodoma wakati wa kura za maoni za kumpata mrithi wa Rais Jk.

Dk.Mahanga anayesifika kwa rushwa,uzinzi na ulevi hali yake kisiasa ni mbaya kwenye jimbo la Segerea hadi kufikia hatua ya kununua kura za wanachama wa Ccm kwa dau la elfu hamsini kwa kila mwanachama.

Mbunge huyu na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira aliyewakilisha bungeni kwa miaka 15 ameahidi kuhamia Chadema akikatwa na Cc ya Ccm.

Dk.Mahanga amesema hana imani na Rais Jk na anamchukia sana kwasababu kamnyima Lowassa urais wa Tanzania kupitia Ccm.

Ama kweli sasa Chadema limekuwa dodoki wale wote wenye sifa mbaya,wezi,wala rushwa,wazinzi sehemu salama yao ni Chadema ,eh Mungu Dr Slaa tuokoe na hili jinamizi Mr Bilicanas anakinajisi chama.
 
Back
Top Bottom