Mahandaki ya HAMAS yazidi kuteketea..."Bye bye Hamas Tunnels"

Mahandaki ya HAMAS yazidi kuteketea..."Bye bye Hamas Tunnels"

Status
Not open for further replies.
Soma biblia Agano la kale...hayo mengine ni ya kwako...

Deuteronomy 7:6 says, "For you are a people holy to the LORD your God. The LORD your God has chosen you out of all the peoples on the face of the earth to be his people, his treasured possession." - See more at: God's Chosen People

Hivi kama kweli hawa jamaa wana hata chembe ya sifa hizo mnazowapa iweje wamkatae mungu wenu Yesu? maana minashindwa kuwaelewa kabisa nyie watu , maana hata Yesu mwenyewe alisema ufalme wa mungu umeondolewa kwao hao mayahudi na kupewa Taifa jingine lenye kuzaa matunda, kwa sababu kwanza walimkataa yeye, lakini pia katika wanadamu ambao wamewahi kuua manabii wengi wa mungu ni hao hao unawaita taifa teule.alafu mnaposema Ezrael ni Taifa teule mnakusudia mayahudi kwa imani yao ya kiyahudi au kama kabila ?
 
Songa mbele Israel. Nenda ukashinde!. Mungu yuko upande wako. Kama wanajua hawawezi kupigana kwa nini wanachokoza? Halafu wanakimbilia sehemu za raia na kuasababishia mauti watu wasio na hatia. Kweli migaidi ni mishetani.


Wameshasema tayari ila kwa shambulio la pili la kwanza walikuwa hamas wenyewe. Usiku wa kuamkia jana kama kawaida hamas wakipozidiwa wakakimbilia shuleni israel akawatandika humo humo. Leo mchana wakajificha sokoni wamekula kichapo kikali pia yaani Netanyau kasema hadi wasalimu amri no water no more food no power. Watalia kwa kusaga meno
 
Songa mbele Israel. Nenda ukashinde!. Mungu yuko upande wako. Kama wanajua hawawezi kupigana kwa nini wanachokoza? Halafu wanakimbilia sehemu za raia na kuasababishia mauti watu wasio na hatia. Kweli migaidi ni mishetani.

Mungu gani huyo aliyeko upande wa Israel? Naona kama unaota vile.

Hata wale wazungu wanaokuja huku kuwanyang'anya ardhi Mungu atakuwa pamoja nao kwani wao ni sawa na hao yahudi walioiba ardhi ya wapalestina ambao wamepewa na hao hao wazungu.
 
Labda ukaangalie upya historia ya Israel na hao waarabu, ni nani mwenye hiyo ardhi.

angalia ha hapa.


An Italian journalist who until Tuesday was embedded in Gaza has backed the IDF's account of a rocket strike on a school playground in central Gaza's Shati refugee camp on Monday.

INN (h/t Mike F) At least 10 people were killed in the attack – most of them children – and some sources claimed the death toll was as high as 30. Palestinian sources were quick to blame Israel, claiming that an Israeli fighter jet fired missiles directly at the playground and nearby hospital. Israel denied the accusations, saying that Hamas rockets aimed at Israel from the area misfired, and struck both the school and the hospital:

Verifying facts on the ground in Gaza is notoriously difficult for foreign reporters, and even for Palestinian journalists seen as aligned with the Fatah-led Palestinian Authority, as journalists are closely watched by Hamas security forces and can face interrogation and a permanent ban from Gaza for publishing material deemed unfavorable to the territory's Islamist rulers. As such, little information has emerged on what exactly happened that day in Shati.

But returning from a stint in Gaza, and safe from what he ominously referred to as potential "Hamas retaliation", Italian journalist Gabriele Barbati broke the media silence by tweeting the following message, confirming that Hamas terrorists rushed to cover up evidence of what wasindeed errant rocket fire aimed at Israel:


  • The rocket that killed the 10 children came from Hamas.
  • When Hamas made the area off limits to reporters, it was cleaning the area from any debris that could show the truth.
  • Hamas intimidates even good journalists from telling the truth, so much so that they won't report what they see while they are in Gaza. EOZ

During the 23 days of Operation Protective Edge a handful of journalists have defied, purposefully or inadvertently, Hamas's restrictions on reporting negative information from Gaza – only to backtrack soon after. Two cases in particular were highlighted earlier this week.

In one, Wall Street Journal reported Nick Casey tweeted evidence – and veiled criticism – over Hamas's leadership's use of Shifa Hospital in Gaza as a command center, shedding more light on the group's use of human shields. Hamas reacted furiously, and a Hamas-affiliated twitter account blacklisted him as a journalist "who lies for Israel" – a potentially deadly accusation for anyone in Gaza, let alone a foreigner. Shortly afterwards, the tweet was promptly removed by Casey.

Numerous foreign journalists have admitted to interviewing Hamas leaders inside the hospital, but their reports are notable for the lack of emphasis placed on such a flagrant violation of international law.

In the second case, another WSJ journalist tweeted evidence of a Hamas rocket misfire which damaged Gaza's main hospital. Again, shortly after tweeting it, Tamer El-Ghobashi removed the evidence.


Mungu gani huyo aliyeko upande wa Israel? Naona kama unaota vile.

Hata wale wazungu wanaokuja huku kuwanyang'anya ardhi Mungu atakuwa pamoja nao kwani wao ni sawa na hao yahudi walioiba ardhi ya wapalestina ambao wamepewa na hao hao wazungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom