M Maquiseone Member Feb 24, 2008 40 1 Dec 9, 2009 #1 Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs. Ofisi ipo Lindi Mjini. Office ipo funished ina kila kifaa cha office ya kisasa na tender docs zinapatikana wasiliana kwa e-mail hii lijonjo@hotmail.com au maquiseone@hotmail.com Deadline ni Ijumaa ya tarehe 11
Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs. Ofisi ipo Lindi Mjini. Office ipo funished ina kila kifaa cha office ya kisasa na tender docs zinapatikana wasiliana kwa e-mail hii lijonjo@hotmail.com au maquiseone@hotmail.com Deadline ni Ijumaa ya tarehe 11
Serendipity JF-Expert Member Jan 24, 2009 486 43 Dec 9, 2009 #2 Si upachukuwe wewe mkubwa? hau aumaind mangawira?
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,152 Dec 9, 2009 #3 Ametoa wazo wape nafasi wenye kuongea kwa matendo sie wa maneno twende thread za wakubwa