Mahakamani Kisutu: Yusuph Ismail ahukumiwa jela miaka miwili kwa kosa la kumuua mkewe bila kukusudia

Kunapokuwa na ugomvi kama huu na kifo kikatokea, basi rebuttable presumption ni kwamba kifo hakikukusudiwa.

Hukumu iko sahihi on the face of it.

Fundisho, mwanamke akichepuka ni hatari kwa uhai na usalama kwa family Mara kumi zaidi ya mwanaume akichepuka. Tiba ya uhakika hapo ni talaka ya fasta.
 
Back
Top Bottom