T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,516
Kuua bila kukusudia ni miaka 15 mpaka 0Mambo ya sheria hayo tuwaachie wenyewe. Ijapo kwa macho yasiyo ya kisheria naona kama hiyo hukumu ni nyepesi sana. yaani miaka 9 kwa kuua
Kuua bila kukusudia ni miaka 15 mpaka 0Mambo ya sheria hayo tuwaachie wenyewe. Ijapo kwa macho yasiyo ya kisheria naona kama hiyo hukumu ni nyepesi sana. yaani miaka 9 kwa kuua
AlilewaKwahio alimyonga ili aweje kama hakukusudia kumuua ?
Alilewa
Umesahau pre-meditationActus reus =physical act
Mens rea=mental state of mind
Hivi vyote vikiwa prooved ndio murder
Mental health ikiwa tatizo ni manslaughter
Alikuwa mwanafunzi?Afu mvulana wa miaka 20 anafungwa miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 19.
ulitaka apewe mingapi?Mambo ya sheria hayo tuwaachie wenyewe. Ijapo kwa macho yasiyo ya kisheria naona kama hiyo hukumu ni nyepesi sana. yaani miaka 9 kwa kuua
Mtu akikutukana ghafla, ukapata hasira ukampiga ngumi ya shingo akafa, ilikusudia kuua?Kwahio alimyonga ili aweje kama hakukusudia kumuua ?
Kwani naye amempa mimba bila kukusudia?Afu mvulana wa miaka 20 anafungwa miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 19.
ProvocationKwahio alimyonga ili aweje kama hakukusudia kumuua ?
Pia kuna "Heat of Passion" usisahau.Umesahau pre-meditation
hapanaMtu akikutukana ghafla, ukapata hasira ukampiga ngumi ya shingo akafa, ilikusudia kuua?
Sasa ulimpiga ngumi ya shingo ili iweje kama hukukusudia kumuua?hapana
Duh mkuu..., hasira na ngumi ya shingo ni kitu cha hapo hapo hakuna planning wala intent, sasa wewe mpaka utafute fimbo na kumpiga na baada ya hapo kumyonga mtu mpaka anatoa macho na kupiga kelele inachukua muda gani, je ni kitendo cha instantly au?Sasa ulimpiga ngumi ya shingo ili iweje kama hukukusudia kumuua?
Unajifanyaga mjuaji wewe!!!Hakuna hukumu hapa kuna harufu ya rushwa
Kama unafikiri ni ujanja ujanja hebu nenda na wewe ukamtetee muuaji tuone kama atachomoka!How to Get Away with a Murder,
Hata sishangai, Sheria ni Ujanja Ujanja
Ndio, anapokujibu pumba nawe unapata hasira unamtandika fimbo kumkomesha (si kumuua), halafu badala atulie analeta ujinga anaanza kukushambulia, nawe unam-apprehend kwa hasira kwa kumkaba, na unamkaba kwa hasira hadi anafariki, lakini hukua na nia wala hukua umepanga kumuua, bali imetokea sababu ya ujinga wake wa kukujibu kunya na ukapata hasira, hakuna premediatationDuh mkuu..., hasira na ngumi ya shingo ni kitu cha hapo hapo hakuna planning wala intent, sasa wewe mpaka utafute fimbo na kumpiga na baada ya hapo kumyonga mtu mpaka anatoa macho na kupiga kelele inachukua muda gani, je ni kitendo cha instantly au?
Huwa sipendi wamama kuingizwa kwenye mijadala kwa malengo ya kuwadhalilisha, pambaneni wenyewe na acheni kuwajumuisha wazazi wenu kwenye hayaJana nililala na mama ako.
Ila nilitumia condom ili asizae akili nyengine kama wewe.
#YNWA