Mahakamani Kisutu: Yusuph Ismail ahukumiwa jela miaka miwili kwa kosa la kumuua mkewe bila kukusudia

Huyo muuaji ametoa rushwa kubwa mpaka wadharimu wote wameshiba na kumpa kiadhabu cha kijinga namna hii.
 
Alivyopewa lulu hukumu sawa na hii.. ilikuwa haki au rushwa pia?
Lulu alijihami alipokuwa anapigwa na ubapa wa panga, katika kujiokoa maisha yake akamsukuma yule bwana akadondoka na kufa,

Huyu mshenzi kampiga mkewe, kamnyonga hadi kufa, kambadilisha nguo kisha akaenda kutoa taarifa.
 
Uliona wapi lulu akijihami kwa panga ama kumsukuma? Una ushahidi gani?
 
Ukimnyonga mtu lengo lako linakua nini?

Nyie watu mkoje?
Tofautisha kukaba na kunyonga, unakaba mtu anaekuletea jeuri, hata shuleni tumekabana sana wakati wa ugomvi, lakini si kwa ajili ya kuuana, ni katika kushikishana adabu tu, ila mtu anapokufa kwa kukabwa ndio tunasema amenyongwa. Hivyo yeye alimkaba sio kumyonga., ila kwakuwa aliyekabwa kafa kwa kukabwa, tunasema amenyongwa, umeelewa?
 
Kama walikua tayari wana magomvi kila siku tayari huyo baba alikusudia kumuua.
 
Kugombana na mkeo unayeishi naye mara kwa mara inakuwaje kiashiria cha kufanya kusudi? If anything inaonyesha mara hiyo imetokea tu bahati mbaya maana mara zote hugomabana na halitokei hilo
 
Alivyopewa lulu hukumu sawa na hii.. ilikuwa haki au rushwa pia?
Unapomsukuma mtu, nia sio kumuua, ni kumsukuma,v
ila bahati mbaya kashindwa kujizuia na bahati mbaya zaidi akaangukia kitu kilichogonga kichwa na kusababisha mauti.
Ila unapomnyonga mtu una nia gani kama sio kuhakikisha anakosa hewa na hatimaye kifo?
 
Back
Top Bottom