denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,938
Wakili huwa anatoa risiti? Ukipata jibu basi utaelewa kwa nini mahakama hawatoi.
teh hehe! erectronic f. device.

Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia uchakavu wa mihuri? nikajibiwa tunalipia cheo cha hakimu na wino/ink, nikataka kuulizia kama nitapata risiti lkn nikaacha coz niliona amenichukia kufuatia swali langu la awali. Lkn kukaa kwangu hapo kwa muda usiozidi dak 10 lile DUka/Mahakama lilikua linamake enough money. Ila ikaniuma sana coz sion mantiki ya kuhonga nami ninavyeti halisi vya elimu yangu. Kisha kama mtu anakaa miaka zaidi ya mi3 akiwa anaomba kazi mbona atakufa kwakuneemesha walioko kwenye uskani! Should we pray for them??????
Usiwe mvivu wa kufikiri wewe,karani wa mahaka Law School anafuata.
Mahakama kama za Karatu zimetia fora kwani ni mradi wa watumishi, kwani kugonga muhuri au kuandika samansi ni elfu kumi au zaidi. Bora hata Mahakama za Kadhi kuliko hizi za Jamhuri maana ukifika unapokelewa kwa mikono miwili ili ulipie mradi. Wapiga chapa usiombe kwani kwa nakala ya hukumu sio chini ya Shs. 20,000 bora hata Secretarial Service. Wasijili wa Mahakama okoeni raia ili haki itendeke.
nakala ya hukumu haitozwi unatakiwa upewe bure, nihaki yako, mnaibiwa
Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia uchakavu wa mihuri? nikajibiwa tunalipia cheo cha hakimu na wino/ink, nikataka kuulizia kama nitapata risiti lkn nikaacha coz niliona amenichukia kufuatia swali langu la awali. Lkn kukaa kwangu hapo kwa muda usiozidi dak 10 lile DUka/Mahakama lilikua linamake enough money. Ila ikaniuma sana coz sion mantiki ya kuhonga nami ninavyeti halisi vya elimu yangu. Kisha kama mtu anakaa miaka zaidi ya mi3 akiwa anaomba kazi mbona atakufa kwakuneemesha walioko kwenye uskani! Should we pray for them??????
Brother ni lazima kuheshimu taaluma za watu, sa we ulitaka agonge muhuri bure? Wenzako wamesota sana law school kupata uo muhuri, wacha wale matunda yao.
Ni muhimu kuheshimu taaluma za watu, japo kuna uzembe mwingi hawa jamaa hufanya. Wanagonga mhuri tu hakuna kuhakiki wala nini japo unaweza kutozwa gharama kwa ukurasa. Miezi michache iliyopita tulihitaji ku-certify passport. Tulikuwa na copy ya passport kwenye email tuka-print. Kugongewa mhuri haikuwa shida ilhali hatukuwa na original document mkononi. Nchi imeoza, inanuka inasubiri machafuko tu.
teh hehe! erectronic f. device.
Nenda kwenye mahakama za serikali Bei chee
Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia uchakavu wa mihuri? nikajibiwa tunalipia cheo cha hakimu na wino/ink, nikataka kuulizia kama nitapata risiti lkn nikaacha coz niliona amenichukia kufuatia swali langu la awali. Lkn kukaa kwangu hapo kwa muda usiozidi dak 10 lile DUka/Mahakama lilikua linamake enough money. Ila ikaniuma sana coz sion mantiki ya kuhonga nami ninavyeti halisi vya elimu yangu. Kisha kama mtu anakaa miaka zaidi ya mi3 akiwa anaomba kazi mbona atakufa kwakuneemesha walioko kwenye uskani! Should we pray for them??????
Malipo yanatakiwa yafanyike Benki. Upokeaji wa fedha taslimu Mahakamani ni rushwa.tena umelipishwa hela ndogo sana kwa wakili according to Public Oath ni kuanzia 20000