R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,402 74,007 Oct 30, 2020 #1 May be kutakuwa na kesi nyingi, je mahakama ziko tayari kuzi handle justly? Kwa ushahidi unaotegemewa kutolewa, ni wazi katika haki zote zitatenguliwa nyingi za "ushindi" was kubeba mabox na kufukuza mawakala
May be kutakuwa na kesi nyingi, je mahakama ziko tayari kuzi handle justly? Kwa ushahidi unaotegemewa kutolewa, ni wazi katika haki zote zitatenguliwa nyingi za "ushindi" was kubeba mabox na kufukuza mawakala
CAPO DELGADO JF-Expert Member Aug 31, 2020 7,621 16,700 Oct 30, 2020 #2 Hata viongozi wa DINI NI WAONGO SANA. Ama kweli Mungu awasamehe TAIFA LINAPITIA MISUKOSUKO MIZITO.
V Vyura99tu JF-Expert Member Jan 14, 2017 1,641 1,747 Oct 30, 2020 #3 Usishangae viongozi wa dini wakaendelea kumnyenyekea ! Na aone hata aibu ya kuingia ibada!!
Ndebile JF-Expert Member Sep 14, 2011 7,237 9,871 Oct 30, 2020 #4 Msimu wa mavuno kwa mawakili...unashindwa kwa tofauti ya kura 60,000 kama Mbowe alafu wakili anakwambia "tutakutetea na utashinda tu" pumbavu sana!
Msimu wa mavuno kwa mawakili...unashindwa kwa tofauti ya kura 60,000 kama Mbowe alafu wakili anakwambia "tutakutetea na utashinda tu" pumbavu sana!