DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
juni 02, mahakama ya kisutu iliahirisha kesi namba 8606/2025 ya uchapishaji wa taarifa za uongo baada ya upande wa jamhuri kuomba mashahidi wasio polisi watoe ushahidi kwa kificho.
Soma, Pia: Mzozo waibuka mahakamani, Lissu akizuiwa kuongea na mawakili wake
Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?