Arusha;Mahakama ya Rufaa itasikiliza rufaa ya dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema siku ya kesho tarehe 27.02.2017.
Rufaa hiyo itasikilizwa saa 8:00 Asubuhi katika jengo la Mahakama kuu na jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa,Majaji hao watakaosikiliza rufaa hiyo ni Mhe.Luanda,Mhe.Mugasha na Mhe.Mussa Kipenka.
Iyoo kazi ulinipa wewe ukiwa na mkeo ama unajipendekeza....
Usije ukawa marafiki zakeeee Wema Sepetu alio wafukuza kwenye nyumba yake(mashoga)
Mambo ya msingi ya jadiliwe kwa hoja
Iyoo kazi ulinipa wewe ukiwa na mkeo ama unajipendekeza....
Usije ukawa marafiki zakeeee Wema Sepetu alio wafukuza kwenye nyumba yake(mashoga)
Mambo ya msingi ya jadiliwe kwa hoja
Sina nia ya personal attack,ila ni vyema kujadili hoja kwa hoja...,lema akipata dhamana kwani utapungukiwa na nini...,
Spika wa bunge alitoa mwongozo kuwa wabunge wasikamatwe pasipo yeye kutaarifiwa,mhimili huu hueshimike,je kwa kuwaheshimu wa bunge na kuwapa uhuru,unaona kutakuathiri wewe....