Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI 26.02.2017
Arusha;Mahakama ya Rufaa itasikiliza rufaa ya dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema siku ya kesho tarehe 27.02.2017.
Rufaa hiyo itasikilizwa saa 8:00 Asubuhi katika jengo la Mahakama kuu na jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa,Majaji hao watakaosikiliza rufaa hiyo ni Mhe.Luanda,Mhe.Mugasha na Mhe.Mussa Kipenka.