M Mtarban JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 3,952 Reaction score 5,263 Apr 28, 2016 #41 FaizaFoxy said: Hivi Kitilya, Sioi na yule mwenzao wako wapi? Bila kumsahau Masamaki, Kabwe na wenzao? Hiyo inatowa majibu kwa kichwa cha habari, ujumbe sijausoma. Click to expand... Inatowa = inatoa. hao uliowataja tayari wamefutiwa shitaka moja, yamebaki makosa saba na I hope kwa mahakama zetu makosa yote yatafutwa na mwisho Wa Siku wataonekana hawana hatia. time will tell
FaizaFoxy said: Hivi Kitilya, Sioi na yule mwenzao wako wapi? Bila kumsahau Masamaki, Kabwe na wenzao? Hiyo inatowa majibu kwa kichwa cha habari, ujumbe sijausoma. Click to expand... Inatowa = inatoa. hao uliowataja tayari wamefutiwa shitaka moja, yamebaki makosa saba na I hope kwa mahakama zetu makosa yote yatafutwa na mwisho Wa Siku wataonekana hawana hatia. time will tell
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Apr 28, 2016 #42 FaizaFoxy said: Dada hueleweki, mara unauliza wako wapi mara unasema karibuni watakuwa mitaani. Mbona unajichanganya? Click to expand... mwanzo nshakwambia ushapanic wewe .Unatumia kila aina ya kauli ila wajuzi tuliokomaa kimawazo na kifikra tunaujua huu mchezo huwa HAUHITAJI HASIRA. RELAX.....
FaizaFoxy said: Dada hueleweki, mara unauliza wako wapi mara unasema karibuni watakuwa mitaani. Mbona unajichanganya? Click to expand... mwanzo nshakwambia ushapanic wewe .Unatumia kila aina ya kauli ila wajuzi tuliokomaa kimawazo na kifikra tunaujua huu mchezo huwa HAUHITAJI HASIRA. RELAX.....
S sensor JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 2,467 Reaction score 1,084 Apr 28, 2016 #43 Itafunga mafisadi wa kuiba kuku