Mahakama ya Kazi

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Mh.Raisi Dr. John Magufuli anza na mahakama kuu kitengo cha Kazi. Haki zinachelewa sana.
 
Tukija kupata majaji malaika kutoka mbinguni rudi tena udai haki.
 
Tukija kupata majaji malaika kutoka mbinguni rudi tena udai haki.
Cha kufurahisha ni kwamba hivi sasa kesi zote za kazi zitasikilizwa majaji waliopo eneo husika.Pongezi sana jaji mkuu,Mungu akuzidishie afya na hekima.
 
Yaan
Sijaelewa vizuri nnkamu,fafanua kidogo
yaani mfano kama upo Iringa au popote pale ulipofungulia kesi,itasikilizwa na jaji wa mahakama kesi ilipo badala ya majaji kutoka Dar kwa ufafanuzi zaidi kama lugh ya malkia inapanda nenda,www.judiciary.go.tz utapata maelekezo zaidi.Hapa kesi tu!.
 
Bwanna IGWE. naona umebobea kwa mambo haya. Naomba mawzo sheria zinasemaje juu ya hili. kama watu wawili wana shauri moja, kwenye kesi anaweza kusimama mmoja kwa niaba ya mwenzie?
 
Bwanna IGWE. naona umebobea kwa mambo haya. Naomba mawzo sheria zinasemaje juu ya hili. kama watu wawili wana shauri moja, kwenye kesi anaweza kusimama mmoja kwa niaba ya mwenzie?
Ndio anaweza kusimama Kama madai ni mamoja
 
Kwa kweli hizi kesi bado zinachelewa mno hata baada ya majaji waliopo mikoani kuelekezwa kuzisikiliza lakini tatazo bado ni kubwa na kesi nyingi hata kuitwa hazijaitwa zaidi ya Miaka mitatu na nyingine miaka tisa. Kwa kweli huku Mbeya tunateseka kwa hill.
 
Tatizo nini na majaji waliongezwa?
 
Fuatilia mkuu. Wenye kesi tunaumia hasa unapohisi kuwa utashinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…