Kuwepo au kutokuwepo kadhi si jambo la kuurudisha nyuma au kuupeleka mbele Uislam.
Waislam tutasonga mbele bila fujo na ukifika wakati, licha ya katiba, hukum zote zitakuwa za Kiislam, tena wataanza wao wenyewe, kwani Uislam ndio njia pekee ya kuishi hapa duniani na akhera.
Kama wanavyoanzisha Islamic banking bila kulazimishwa na hukum za Kiislam zingine zitashamiri kutokana na wao hao wapinga Uislam bila kulazimishwa.