Kikwete anaitakia nini Tanzania?
Hii mahakama ya kadhi ni ya dini moja, kwa ni ni inalazimishwa kuingizwa kwenye katiba ya nchi?
Kwa nini serikali ilazimishwe kutambua maamuzi yanayotolewa kwa misingi ya imani ya dini moja?
Hawa watu wanapoona hawataki kuhukumiwa kwa sheria za hiyo dini ama wakabadili dini wataponaje na mkono wa jambia la uislam?
Pinda anapaswa kuona haya. Amekuwa kwenye uongozi Tangu enzi za Mwalimu na anajua namna gani hekima ilitulmika kuliepusha taifa na madhara yatokanayo na srikali kuifungamanisha na dini. Inakuwaje leo amekuwa kipofu anataka kulipeleka taifa kwenye majanga anayoyafahamu?
Kwa ni ni waislma wana lazimisha serikali itambue maamuzi ya imani yao as if hiyo ndiyo imani ya serikali?
Je kwa kikao kuendeshwa chini ya mtutu, watapitisha hou mswada kwa usimamizi wa bunduki? Katiab ya nchi inasemaje?
Iko wapi democrasia na uhuru wa Watanzania kufuata misingin na dini wanazozitaka ili mradi wasijvunje sheria ikiwa serikali inajiweka kwenye ukiranja wa kulazimisha watu kutii na kufuata dini ya kiislam?
Hivihii mahakama ya kadhi, ina tija gani katika maendelea ya taifa? Inagusaje maslahi ya taifa kwakuondoa kwenye waislam?
Kikwete atuachie nchi yetu. Anayomasual mengi ya kujenga jina badala ya kulazimisha kuisilimisha nchi kwa nguvu. Anaweza kujenga jina kwa kutatua migogoro kwenye chama chake; kumaliza mgororo wa ziwa nyasa;, kutengeneza tume huru ya uchaguzi, ku review mikataba fake na kuwawajibisha mafisadi, badala ya kutaka kufanya graduation yake kwa kutengeneza mitafaruku inayopelekea umwagaji damu nchii kama matumizi ya mabavu katika ura za maoni, mfumo wa hila wa uandikishaji wa wapiga kura; kupitisha katiba chafu kwa nguvu; kulazimisha nchi kufuata sheria za dini yake n.k.
Vinginveyo, nawapongeza sana Wabunge wetu waliosimama kidedea hata mbele ya mitutu ya Bunduki, kuukataa mswada wa kadhi usiingie bungeni.
Nimesikitishwa na wawakilishi waliokuwa wakitetea muswa huo kwa kuendesha mijadala kwa vitisho, "Eti sisi waislam, tukutane tujue tunafanya nini;, maramwanasheria mkuu wa anawatishia wabunge eti atatumia madaraka yake mengine'. huu ni wehu na fedheha.
WABUNGE WETU, MNAOTETEA KATIBA YA NCHI, NA KUKATAA KUPELEKWA MUSWADA WA DINI YA KIISLAM KUWA DINI YA SERIKALI BUNGENI, TUNAWAOMBEA NA TUTAKUWA PAMOJA NANYI HADI TONE LETU LA MWISHO LA DAMU.
HAMKO PEKE YENU, TUKO PAMOJA NANYI, MUNGU AWATUNZE, AWALIINDE, NA KUWAPA NGUVU, MSHIKAMANO, MAARIFA NA BARAKA ZAIDI.