Na kusema ulee ukwelhi.. ikitokea ikawepo.. mpasuko utatokea kwa sababu akina chichi kuukubali huu nchezo ithakuwa nghumuna kama mahakama ya kadhi hakuna ni bora utokee mpasuko wache tuchapane maana amani tumeshaichoka
na kama mahakama ya kadhi hakuna ni bora utokee mpasuko wache tuchapane maana amani tumeshaichoka
Kabla ya kukurupushwa na chuki na kukimbilia kupost hapa, kwanza ungefanya ka-research kadogo tu. Kenya mahakama ya kadhi imo kwenye katiba yao, umesikia mpasuko wowote wa kidini? Au umesikia watu wamepigwa mawe mpaka kufa huko?
Ni wapi post yangu ina chuki? sijaegemea upande wowote mie,kuhusu kenya,imetambua mahakama ya kadhi kwa vipengele ambavyo viko limited sana,sasa hapa kwetu wanataka serikali iwajibike moja kwa moja na mahakama hiyo,yaani kwa mfano mtu akiwa convicted kwa sharia za kiislam,basi police wa serikali wasimamie,kufanya hivyo ni sawa na kuwa hili ni taifa la kiislam,wakati Tanzania haina dini.
Ndugu zetu waisilamu mnapenda dezo. Mnakwepa gharama mnatubebesha mambo ya dini kwenye kodi? Nani atagharimia cost kuirun? Mahaka ya serikali ina hahi mbaya kifedha na nyie mbataka mskadhi wenye wake kumi walipiwe ba kodi? Pumbafu yenu
Kabla ya kukurupushwa na chuki na kukimbilia kupost hapa, kwanza ungefanya ka-research kadogo tu. Kenya mahakama ya kadhi imo kwenye katiba yao, umesikia mpasuko wowote wa kidini? Au umesikia watu wamepigwa mawe mpaka kufa huko?
kama umechoka kuishi Tanzania,tafuta pa kwenda uhame ktk hii nchi,usijidanganye kabisa kuwa eti kama hakuna mahakama ya kadhi eti nchi itaingia vitani,mtakaojaribu kuvuruga amani mtaishia jela wote,wala msijaribu,vyombo vyetu vya dola viko imara sana,hutaki amani,nenda Syria,Iraq,Central africa,somalia na n.k.
Wewe ndo umedai patakua mpasuko,au unaongelea mpasuko gani?kama umechoka kuishi Tanzania,tafuta pa kwenda uhame ktk hii nchi,usijidanganye kabisa kuwa eti kama hakuna mahakama ya kadhi eti nchi itaingia vitani,mtakaojaribu kuvuruga amani mtaishia jela wote,wala msijaribu,vyombo vyetu vya dola viko imara sana,hutaki amani,nenda Syria,Iraq,Central africa,somalia na n.k.