Mwana mie navyofahamu hapa tanzania raia tunaishi kwa ushirikiano kama kitu kimoja na tunaingiliana bila kujali dini na kuoana pia bila kujali dini sasa ikatokea ndoa ya mkristu na muislam wakaoana then ikatokea matatizo uliyoainisha itakuwaje sasa hapo!pia jela ya hii mahakama itakuwa wapi?na ninani atakaehusika na kukamata washtakiwa na pia kudhibiti nidhamu ya washtakiwa??[/QUOTE]Mahakama ya kadhi ni maalumu kwa ajiri ya kutatua migogoro ya miradhi,ndoa na mambo mengine yanayowahusu waamini wa dini ya kiislamu,na hutoa maamuzi yake kwa kutumia sheria na miongozo ya kiislamu.Wakati mahakama za kawaida husuluhisha migogoro mbalimbali kwa kutumia katiba mama na sheria mabalimbali zinazotoa miongozo ya namna ya kuongoza nchi na raia wake bila kujali dini zao.
Waache wasababishe muingiliano na sekula. Atakayetoa hukumu ya kupiga mawe mwanamke naye atakamatwa na polisi ya JMT !Halafu si watataka POLISI na MAGEREZA ya kiislamu vinginevyo hizo mahakama za kiislamu zitafanyaje kazi bila POLISI na MAGEREZA?watuhumiwa watakamatwa vipi?watafungwa wapi?ikiwa mtuhumiwa siyo muislamu inakuwaje?....mimi sielewi hii kitu umuhimu wake
Hii mahakama isimame kama chombo cha Waislamu kwa sababu ni ya dini, Serikali itafanya makosa makubwa kama kodi ya mtanzania itatumika katika uendeshaji wa mahakama hizi.Mufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10
kama serikali imekubali mahakama hiyo basi naipongeza kwa uamuzi huo wa busara wa kuwapa waislamu kile wanachotaka kwa mujibu wa sheria na kusisitiza hoja ya mufti kufanywa siku ya mapumziko kwa kuingia mwaka mpya wa kiislamu kwa sababu hata dini zingine huwa wanamapumziko siku za mwaka mpya wa tarehe 1.1 kila mwaka hivyo waislamu nao wana haki ya kusherehekea mwaka wao mpya na ifanywe kuwa ni siku ya holliday!!
naomba ufafanuzi tafadhali; hiyo mahakama ya kadhi itakuwa na bajeti serikalini? au ni mahakama inayojitegemea yenyewe bila kuhusisha serikali; hebu nifahamishe sijaelewa vizuri!!!!!!
Hivi tarehe 1.1 ni mwaka mpya wa dini gani.........???Mufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10
kama serikali imekubali mahakama hiyo basi naipongeza kwa uamuzi huo wa busara wa kuwapa waislamu kile wanachotaka kwa mujibu wa sheria na kusisitiza hoja ya mufti kufanywa siku ya mapumziko kwa kuingia mwaka mpya wa kiislamu kwa sababu hata dini zingine huwa wanamapumziko siku za mwaka mpya wa tarehe 1.1 kila mwaka hivyo waislamu nao wana haki ya kusherehekea mwaka wao mpya na ifanywe kuwa ni siku ya holliday!!
Mufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10
kama serikali imekubali mahakama hiyo basi naipongeza kwa uamuzi huo wa busara wa kuwapa waislamu kile wanachotaka kwa mujibu wa sheria na kusisitiza hoja ya mufti kufanywa siku ya mapumziko kwa kuingia mwaka mpya wa kiislamu kwa sababu hata dini zingine huwa wanamapumziko siku za mwaka mpya wa tarehe 1.1 kila mwaka hivyo waislamu nao wana haki ya kusherehekea mwaka wao mpya na ifanywe kuwa ni siku ya holliday!!
kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu! Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10
Hii mahakama isimame kama chombo cha Waislamu kwa sababu ni ya dini, Serikali itafanya makosa makubwa kama kodi ya mtanzania itatumika katika uendeshaji wa mahakama hizi.
Hii mahakama isimame kama chombo cha Waislamu kwa sababu ni ya dini, Serikali itafanya makosa makubwa kama kodi ya mtanzania itatumika katika uendeshaji wa mahakama hizi.
Hongereni sana! Na sisi serikali itukumbuke February 3, 2011, iwe ni siku ya mapumziko, ni mwaka mpya kwa sisi wachina. Pia Mpwa zangu ni waorthodox tunataka iwe siku ya kitaifa ya mapumziko hapo January 14, 2011.
Tupewe tunachokitaka.