Mahakama: Trump hakuna kublock watu Twitter.

Mahakama: Trump hakuna kublock watu Twitter.

Gentleman P

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2018
Posts
370
Reaction score
454
Kwa mujibu wa BBC asubuhi hii, rais Trump hatablock au kuzuia tena watu kuview Profile yake hata kama wana mlengwa tofauti wa kisiasa.
 
Tehe tehe tehe nimecheka sana! Wamarekani wanapenda sana sifa yaani wanataka kutuaminisha kuwa wanapenda kuitenda haki sawa kwa wote.
 
Where democracy, transparency, justice, and human rights prevail; peace and development are inevitable! This need no any research or theory to prove, it is obvious!
 
kumbe trump muoga hivi...? ana zuia watu wasi mshambulie tena twitter?
 
Back
Top Bottom