Mahakama:Lema anakesi ya kujibu

Mahakama:Lema anakesi ya kujibu

Yaani unasoma habari kisha unanukuu vifungu / mstari mmoja mmoja na kuleta hapa kama hoja.

Weka habari nzima tukuelewe siyo vifungu vifungu.


MIZAMWA
INANIUMA SAANA!!!!!

mjifune kununua magazet sio mnasubi kutafuniwa kilakitu
 
ndugu yangu nimeweka chanzo tusiwe wavivu kiasi hicho.
Bwana mdogo mbona mgumu kuelewa kwa hiyo unataka sisi twende kusoma huko kwingine badala ya wewe kuleta habari inayojitosheleza? Kiri upungufu wa habari yako bwana usiwe mbishi vinginevyo utashindwa kujifunza
 
Jamani, kwa mdau yeyote mwenye uwezo wa kutuwekea Link ya hiyo habari hapa jamvini toka gazeti la Mwananchi ebu tunamwomba atusaidie, halafu wenyewe ndo tutajua mbivu na mbichi baada ya kuisoma habari hiyo kwa ukamilifu wake.
 
Back
Top Bottom