Mahakama Kuu ya Zanzibar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

Mahakama Kuu ya Zanzibar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeamua kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa kuwa mamlaka hayo yamo mikononi mwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Bara).

Sikiliza Gumzo la Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo na wakili wa kesi hizo, Omar Said Shaaban. Nini maoni yako?

 
27 January 2026
MKANGANYIKO WA KIKATIKA BAINA YA MAMLAKA YA JAMHURI YA MUUNGANO NA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR (SMZ)
1769522835293.jpeg
1769522873825.jpeg
 
Malaya wa kisiasa bwana Uzito anaendelea kutokuamini macho yake 😂
 
Ilichofanya mahakama kuu ya Zanzibar no sahihi ingawa hats hiyo mahakama no feki.
Mgombea was urais Zanzibar ambaye pia alikuwa mwanasheria mkuu was Zanzibar alishiriki kutunga sheria nyingi za hovyo ambazo zilikuwa zinapingana na katiba ya jamhuri was muungano na hayo ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom