Kesho, tarehe 09.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.
Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.
Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.
Tunaamini Mahakama hawahangaiki na upuuzi wa humu JF na hivyo watatoa uamuzi ambao ni sahihi kabisa na ili iwe fundisho kwa watanzania wengine wenye akili kama za akina LWAKATARE na mwisho wa siku Tanzania ibaki kuwa salama.asante kwa taarifa, angalau kesho upepo ubadilike toka Bungeni na Arusha!! halafu Vp Kama Ungesema tu ''KESHO KESI ITAOLEWA AMUZI AMA KUIFUTA AU KUONA ANA MASHITAKA YA KUJIBU'' au ndo hivyo tena unawatayarisha wasomaji kujiandaa na posts kama itakua NDIO AU LA!!!!!? anyway nahisi kama atakuwa huru na kukamatwa tena nje ya jengo!!!!! na movie itaendelea........
Hana uhakika na anachokiandika na ndiyo maana anapiga majungu tu humu JF, hivi na ushahidi wote ule LWAKATARE ataponea wapi? kule hakuna siasa tena pale ni sheria inachukua mkondo wake.Kesho ni tarehe 08.05.2013, siyo 09.05. 2013! Sasa una maana ya tarehe hiyo au kesho?
Kesho, tarehe 09.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.
Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.
Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.
Hana uhakika na anachokiandika na ndiyo maana anapiga majungu tu humu JF, hivi na ushahidi wote ule LWAKATARE ataponea wapi? kule hakuna siasa tena pale ni sheria inachukua mkondo wake.
Sijaona ubaya wa alichokisema lwakatare katika ile video, afadhali yeye amepinga sana mambo ya uuaji na kutesa watu anachosema ni kwamba alitaka wamtishie mtu anayewavuga, which means huyu jamaa hana roho ya kikatili kama wanasiasa wetu wa chama tawala waliomwagia sumu mwakyembe na mwandosya na baadhi ya mapolisi wetu kama wale walioua jamaa wa mahenge na ku assasinate mwangosi, kinachoikuza ishu ya lwakatare ni kwaba yeye amekamatwa wakati wengine hawajakamatwa, bado namuamini lwakatare nimempa kura yangu alipokuwa cuf na alipohamia chadema na akirudi tena kugombea ntakwenda bukoba kupiga kura tenaAchilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.
Mtoa mada hujaeleweka
Sijaona ubaya wa alichokisema lwakatare katika ile video, afadhali yeye amepinga sana mambo ya uuaji na kutesa watu anachosema ni kwamba alitaka wamtishie mtu anayewavuruga, which means huyu jamaa hana roho ya kikatili kama wanasiasa wetu wa chama tawala waliomwagia sumu mwakyembe na mwandosya na baadhi ya mapolisi wetu kama wale walioua jamaa wa mahenge na ku assasinate mwangosi, kinachoikuza ishu ya lwakatare ni kwaba yeye amekamatwa wakati wengine hawajakamatwa, bado namuamini lwakatare nimempa kura yangu alipokuwa cuf na alipohamia chadema na akirudi tena kugombea ntakwenda bukoba kupiga kura tena
Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.
bora ya wewe umekubali kuwa video ile ni genuine. ila nakukumbusha kuwa ''dennis msacky ni mtu hatari sana na haishii tu kwenye kuandika. pia yupo karibu sana na zitto'' ukikumbuka maneno hayo ndipo utakapokuja jua ni nini adhabu ya mtu hatari. lolote huweza kutokea. so lwakatare ni mtu hatari sana.
Hapo haki haipo ugaid afanye yeye halafu sisi twende mahakamani wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Kesho, tarehe 08.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.
Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.
Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.
Kajifunzi chadema kwenye kambi yao ya arusha ya kujifunzia umafia.Nani zaidi Ighondu au Lwakatare? na huyu Lwakatare ugaidi alijifunzia wapi?