Mahakama imesitisha shughuli zote za CHADEMA ajabu bungeni bado kuna wabunge wa CHADEMA

Mahakama imesitisha shughuli zote za CHADEMA ajabu bungeni bado kuna wabunge wa CHADEMA

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,465
Reaction score
4,613
Wasalaam.
Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado wanahudhuria bunge la bajeti linaloendelea dodoma.

Ni kwamba hii amri ya mahakama haiwahusu au ndo mwendelezo wa double standard? Kwanini hawajazuiliwa kuingia bungeni?
Ina maana sheria sio msumemo?
Au kuna chadema mbili?
Hii inafikirisha sana na kwa upande mwingine ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Wasalaam.
Mahakama tukufu ilisimamasha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado wanahudhuria bunge la bajeti linaloendelea dodoma.

Ni kwamba hii amri ya mahakama haiwahusu au ndo mwendelezo wa double standard? Kwanini hawajazuiliwa kuingia bungeni?
Ina maana sheria sio msumemo?
Ndo ujue kwamba ni vururu vururu, yaani hata haieleweki. Inasemekana, hata kule wamefungia kanaisa lisilo kuwepo ila wakazingira kanisa la Gwajima na kupiga stop watu kuabudu
 
Back
Top Bottom