Uzembe kama hapa, ni kwa vile nadhani natural immunity or other yet to be known epidemiological factors have saved the day to a limited extent hereBolsorano ni rais mzembe kuwahi kutokea. Alidharau dudu. Leo dudu lemkuta. Anatafuta wa kumbebesha lawama
Do you think scientist dont know about it. Oh they do.. they even publish a research that natural immunity dont work in all virus.Uzembe kama hapa, ni kwa vile nadhani natural immunity or other yet to be known epidemiological factors have saved the day to a limited extent here
Exactly, herd immunity works in non fatal virus! not a highly fatal virus as is coronavirus!Do you think scientist dont know about it. Oh they do.. they even publish a research that natural immunity dont work in all virus.
Only work in weak virus.. but lethal virus nope.
+ they did an experiment during spanish flu.
The outbreak took 50million peoples world wide.
They tried herd immunity approach.. all the got was more death.
Anyway kwa bolsorano naona anaficha uchafu wake wa kuchelewa ku act mapema. Now anatafuta wa kumtupia lawama.
Yupo sahihi kwa kuifungia hiyo website?Rais wa Brazil yupo SAHIHI
No, Just a person of interest.Exactly, herd immunity works in non fatal virus! not a highly fatal virus as is coronavirus!
Are you a medic anyway?
Kama angekuwa sahihi. Mahakama nchini humo isingetengua maamuzi yakeRais wa Brazil yupo SAHIHI
Yupo sahihi kwa kuifungia hiyo website?
Kama angekuwa sahihi. Mahakama nchini humo isingetengua maamuzi yake
Usadifu ID yako kabisaMahakama ipo sahihi
NA rais wa Brazil alikuwa SAHIHI.
Usadifu ID yako kabisa
Hivi unafuatialia habari zake kweli? Mahakama umebatilisha maamuzi yake.Mahakama ipo sahihi
NA rais wa Brazil alikuwa SAHIHI.
Hivi unafuatialia habari zake kweli? Mahakama umebatilisha maamuzi yake.
Kama alikuwa sahihi kwann wabatilishe maamuzi?
Mahakama huwa haikurupuki kufanya maamuzi. Yes kuonekana hakusaidii kama kitendo chenyewe hakitofanyika.hata SHETANI alikuwa SAHIHI kwa upande wake.
kubatilishwa huo uamuzi wa rais wa Brazil.
Hakumfanyi aonekane hakuwa SAHIHI..
Mahakama huwa haikurupuki kufanya maamuzi. Yes kuonekana hakusaidii kama kitendo chenyewe hakitofanyika.
Anaonekana lakin uamuzi umeshabatilishwa.
Kwa hiyo mahakama imefanya makosa?Mahakama inaendeshwa na binadamu kama wewe.
Pia uwa inafanya makosa.