Mahakama Brazil yaamuru Serikali ifungue website ya Serikali na ichapishe taarifa za maambukizi ya Covid-19 kama yalivyokuwa yanatolewa

Mdharau mwiba ....... Kama hapa kwetu leo madereva nane wamerudishwa kutoka Uganda wakidhani kuwa na Corona halafu bado tunachukulia serias- Huyo Dereva ametoka Dar-Pwan-Morogoro-Dodoma-Singida-Tabora(Igunga/Nzega)-Shinyanga(Kahama) Mpaka anafika Boda halali labda kwenye nyumba za kulala wageni, hali hafanyi chochote ili asikutane na watu?
 
Hao hawakutaka kutoa kidogo kitu hapo mpakani, wangetoa wangepitishwa na kuandikiwa hawana corona.
 
Back
Top Bottom