RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,335
- 10,560
Kwameh from JF anaandika.
said: ↑
Mahakama inawaonya AG na DPP kwa misingi ipi?
Wao mahakama ndio wame rubber stamp kila anachotaka DPP. Kosa sio la DPP.
Kwa sababu, labda ngoja nitoe elimu kwa umma hapa, ever so briefly.
Mfumo wa sheria wa Tanzania ni adversarial judicial system. Pande mbili zinazokutana mahakamani zinapingana kwa nguvu zote, hakuna kuchekeana wala huruma, ubaya ubaya!
DPP na state attorneys wake wamekula kiapo cha kitaaluma na cha kiajira cha kutetea na kupigania interest za Jamhuri mbele ya mahakama kwa nguvu zao zote, akili zao zote, jasho, mbinu, hila, sarakasi, technicalities, na kila aina na namna ya figisu inayokubalika kisheria kutafuta ushindi. Ukishindwa jukumu hilo una makosa yanayoitwa incompetent representation of counsel.
Sasa ni jukumu la Mahakama kukwamisha hila ya wakili wa Jamhuri ambayo haikubaliki kisheria.
Kwenye kesi ya Lema, kwa mfano, hakimu alitia rubber stamp, alikubali taarifa ya mdomo ya Jamhuri ya kunuia kukata rufaa ya dhamana. Akamsweka Lema ndani wakisubiri shauri. Siku ya shauri la dhamana Jamhuri ikaondoa kesi asubuhi! Lema kashakaa ndani miezi! Jaji akatoa machozi!
Such a brilliant, shrewd, legal maneuvre by the state attorney which takes advantage of the inept magistrate handling the case along with the gaping loopholes in the criminal procedure laws.
Jaji unalalamika nini? Kwani DPP ndio alimsweka Lema ndani? Jaji alitakiwa kum lambast hakimu aliyemkubalia DPP kila anachoomba.
Halafu sasa kibaya zaidi, Freeman Mbowe, leader of the opposition akaenda mbele ya microphone kuitangazia dunia kwamba upinzani tulikuwa tunadhani kimakosa kwamba mahakama is compromised.
Badala ya kusema karipio la jaji limedhihirisha kwamba Mahakama was compromised Mbowe essentially anasema tulikuwa tunakosea kuilaumu mahakama. Amerudisha nyuma miaka na miaka ya juhudi na vilio vya upinzani kwamba the judiciary is a rubber stamp of the governmen