Leo tarehe 17.11.2018,ni mahafari ya 11ya chuo cha kikatoliki Mwenge yanayofanyika katika viwanja vya kanisa la mtakatifu Thadeo Mwenge.
----------------------------
11: 38am
Kwa sasa maandamano ya wanataaruma na mgeni rasmi ndo wanaingia ukumbini wakiongozwa na brass band .
---------------------
11:45 am
Unaimbwa wimbo wa taifa pia na wimbo wa kuombea chuo kikatoliki mwenge ( MWECAU)
----------------
11:50 am
Baada sala iliyoongozwa na chaplain wa chuo anamuita mwanasheria wa chuo kusema sheria inayoongoza chuo kutunuku shahada stashahada na astashahada pia anaitwa askofu kutangaza uhariari wa mkutano huu wa mahafari ya 11 cha kikatoliki mwenge pia anaitw makamu mkuu kuwatambulisha wajumbe waliopo
----------
1200am
Hotuba ya mkuu wa chuo anazungumzia kuw asilimia kubwa ya wahitimu ni walimu anasema walimu wanatakiwa kuwa na maadili kwa sabab walimu wanaweza kuharibu kizazi sio mwalimu kuvaa nguo zilizo chanika chanika eti n ukisasa, kwa taritibu za MWECAU hakuna mtu anaweza kuingia chuoni akiwa amevaa nje ya dresing code za kiafrika .nguo zinazobana miniscate kaptura mawigi ya rangi nyingi nyingi.
Pia anamshukuru baba askofu w kufungua kituo cha afya Mwenge kazi iliyofanyika jana pia kushiriki mahafari .
--------------
12: 39 pm
Muwakilishi wa mwenyekiti wa baraza la maaskofu tanzania hotuba .anasema kuwa jamii inawaona wanachuo kuwa ni wasomi wakati wanasoma lakini baada ya masomo wanarudi mtaani na kuonekana ni watu wa kawaida .anasema wasomi kutumia akili na nafasi ya kusoma wanatakiwa kutokuw katika hali kufanana kama wasomi akatolea mfano wa msomi anatumia message kuwa ameshida million kadhaa akati hajashiriki shindano lolote! Watu waache hofu ya .wamtumainie Mungu na kufanya kazi .nawasomi wanatakiwa kuadd katika maisha ya watu .pia akasema anashukuru chuo kwa kuanzisha somo la ujasiliamali ambalo litasaidia kujiajili pia wahitimu wawe wabunifu mfano kujitolea ajira ni ngumu kupata.
-------------
01:20 pm
Sasa ni wakati wa kutunuku shahada ya uzamivu(PHD) jumla wapo 4 inafata shahada ya uzamili (masters) jumla wapo 44 wanafata postgraduate graduate Diploma jumla wapo 9 wanafata wa degree ya kwanza ya elimu katika masomo ya ya sanaa ( Bachelor of education in arts BEDA) jumla wapo 151 .wanaofata ni wa degree ya kwanza ya elimu katika masomo ya sayansi (,Bachelor of education in science BEDS ) jumla wapo 1073. Wanaofata ni wa Shahada ya kwanza ya mahesabu na takwimu (Bachelor of science in mathematics and statistics jumla wapo 52 .wanafata Wa stashahada (diploma) mbalimbali jumla wapo 82 na wanaofuata ni wa astashahada mbalimbali (Certificate) jumla wapo 131.
----------
02: 20 pm
Unaimbwa wimbo wa taifa kuashiria mwisho wa mahafari pia sala ya kushukuuru na watu wanatawanyika na picha za pamojat..asanteen ..
Imeletwa kwenu na
.........Anord.........