Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

 
Hao jamaa baba yao alikuwa waziri wa fedha kwenye utawala wa Siad Barle ,baada ya ndo wakakimbilia tz na kufikia maeneo ya kigamboni jiran na Mh Ndungulile.Ni watu waliokuja na mtaji wa kutosha ukichanganya na spirit yao ya upambanaji kuwa hapo wanastahili......Na Kabla ya kujenga hiyo city mall walikuwa na garage ya magari ktk huohuo uwanja wa bakwata
 
Huwajui wasomali,,, wanapenda starehe balaa,, ni malaya kuanzia wanawake hadi wanaume na maskini ni wengi... Kwa ufupi ni binadamu wengine kama sisi..
Stararehe hata wakina Jack Ma wa alibaba hufanya starehe..Wajapani ni watu wanao fanya kazi.sana ila hata starehe wanafanya.

Tatizo unazani ukisha kuwa mfanya biashara starehe unapaswa kuziacha.ishu ni kubalance
 
Vyovyote vile jamaa.wanapamvana na si Tanzania tu..Wasomali ndi wameshikilia Uchumi wa Kenya..Hiyo.Nairobi ni kama yao.
Kwanza Tanzania hawajawekeza sana.kama.Kenya,
 
Nataka kuuliza tu hivi kwa nini mtu upo kazini ni zaidi ya miaka hata 20 bado ujaacha kazi ukaenda kujiajiri. Lakini unakua wa kwanza kuwashambulia vijana kua wakimaliza shule wanatakiwa kujiajiri ingali ambao wapo kwenye ajira na wana msingi mzr hata wa kupata mtaji hawajiajiri?
 
Wanaweza wakawa wamekuja na mtaji au ni wawakilishi au ubia wa wengine wa nje wenye Mali yote yawezekana.
 
Hata watajirikao kijijini ni wakuja sio wazawa.
 
Watanzania hawana Backup huko nje?.
Hahaha back-up wapi?
Yaani ukijitambulisha watahakikisha wamekutapeli ulichonacho
Nakumbuka miaka ya nyuma sana huko Cairo jamaa walikuwa wanalizwa na wenzao mpaka wanaomba ubalozini warudi tu nyumbani
 
Wasomali wako active n seriously sana..check hata kariakoo. Wako sharp.. Wabongo kwa sababu akitokea msomali pirates, ukimiliki mabasi mchawi, ukijenga gorofa umetapeli etc..
 
Jamaa kwanza hiyo confidence waliyonayo tu, tayari ni ,mtaji. wanavyojieleza tu unashawishika kwamba hawa jamaa wana vitu vichwani mwao.
 
Mafanikio yao huwezi kujua sasa wewe usione kila aliye na mafanikio ametumia nguvu ya kawaida wengine wameuza hadi watu ili kutengeneza pesa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…