Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Wanajf, let me declare that sijawahi ingia humo kote kote, Mungu anisaidie sana nisiingie huko!
Mliowahi ingia huko Na wenye ufahamu Halisi ni wapi kuna unafuu wa kutuliza akili?
Ninachokumbuka hapo ZAMANI kijijini kwetu kulikuwa askari mmoja alijurikana kwa jina la Magori akikamata watu wenye makosa madogo alikuwa anawapa adhabu kwenda kutafuta Kupe / papasi 10 Na kunguni 10 ili wawekwe humo mahabusu na mwisho wa adhabu yake.
Nasikia mahabusu ya magereza iko vizuri hakuna bughuza.
Je huko Magerezani wafungwa Na mahabusu hukaa Na kulala pamoja au kila kundi kivyao?
Kwa FIKIRA zangu nadhani askari magereza wana roho ya huruma kuliko askari wa majeshi mengine.
Nasikia kule kwenye magereza makubwa yenye watu wengi ndio hayana ustaarabu je ni sahihi?
Magereza wana silaha zao lakini kukiwa Na jambo lenye vurugu kwann waitwe wa Polisi FFU?