Mahaba zaidi ya Mahaba

Siasa ni kama dini inasimamia mitizamo ya kifikra. So kila MTU hudimamia fikra zake. Mjinga in yule anayemwona mwenzie mjinga katika fikra zake
 
Anaota utajiri atakaopatiwa na EL baada ya kupata uraisi, yaani ugali chaliiiiiii, ni chips mayai au chips kuku kwa kwenda mbele.
 
siasa ni kama dini inasimamia mitizamo ya kifikra. So kila mtu hudimamia fikra zake. Mjinga in yule anayemwona mwenzie mjinga katika fikra zake
tawire....well said
 
siasa ni kama dini inasimamia mitizamo ya kifikra. So kila mtu hudimamia fikra zake. Mjinga in yule anayemwona mwenzie mjinga katika fikra zake
hata ahadi ao nyingi zimekaa kindoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…