nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
Bandugu nna hakika woote mko mswano.... Hebu naomba tumsaidie huyu ndugu yetu...
Juzi j2 jioni, kama kawa.. tulikuwa tunaharibu kipato..baridi 1 moto moja... kuna rafiki yangu mmoja alijumuika nasi ni mchangamfu mcheshi,,, story zikachanganya pale huku jamaa alikuwa bizee kuchat kwa sana... kikao kilianza kupungua tukabaki wa2 2...jamaa akaniuliza... umeshawahi kuwa na nyumba ndogo,, nilicheka sanaa,, then nikamwambia duh.. mie nadonoa na kusepa,, kumiliki nooo.... familia inanitegemea,,, akauliza unawezaje? nikamwambia roho ngumu tuu kaka..... akanambia kaka nimeganda mwenzio... nika dem from mwaka 2006,, wakati my first bon anaona dunia, na sasa ninae wa pili anafikisha 3.5yrs. we met mtandaoni start as friends,,, ikaenda mpaka tukaanza mamboz, na wakati huo kila mmoja alijieleza kiukweli kabisa.. kwa maelezo ya mshakaji......she told him kwamba mmewe was passed away, left her with 2kids,, na wako shule 14, 12 yrs.
They understand each with their rules..(sikutaka kuzijua) ambazo waliafikiana....he said ndani ya 3 yrs, ndo mkewe alipofuma first sms, ikawa tifu la kawaida...then jamaa ... kwa mfume wake dume akauwa soo kimya kimya, yule dem bahati nzuri, she is well educated,, got nice job.. kwa maelezo yake....he said what that gal want is happyness only.... nothing else....but 1 thing is....siku zote wanawake wameumbwa hivyo kupewa ni lazima hata akiwa nacho...... muda ulikuwa umesonga jamaa akaagiza na vitafunio...nadhani mmenielewa hapo ... mbafu sa mburu.. kiruuuu....uharibifu wa kipato uliendelea kwa sana...he support her as usual.... kama men tulivyo...na alimweleza how her husband died... wanajuana kila kitu...ikatokea kipind yule dem akaomba waseparate... he agree.. but dem mwenyewe akashindwa,, wakaendelea,,, na tena hata ndomu hawatumii tena....live mchangani....ila walienda kupima wote,, na walikuwa safi...then 2010, dem akaomba again waseparate,,, after long conversation between them... haikuwa only 1 day.... mazungumzo yakaishia gizani...they move on... actual yule dem hata 40yrs hajafika yuko kwenye 38 by now, na jamaa 41yrs by now... migogoro ya mahabani ni kawaida,, last yr wife wa jamaa akafuma sms... kuchunguza ni ile no.... ya last time... wife kaanzisha boonge ya tifu home...yuko vema jamaa,,, standard life tuu, usafiri na nyumba kajenga na miradi ya hapa na pale,, na mkewe ni mjasiriamali wa kweli....kama kawa mfume dume ukatake place....wakasafiri na familia kwenda kupunguza machungu for long.... mbaya zaidi huyu jamaa akisafiri hata na mkewe,, demu wake na yeye huko huko,, different hotel.. na jamaa anawaaga ankwenda labda kuangalia anything... kumbe anaenda kujinyoosha....he knw how to treat his wife...kwa maelezo yake........ SASA mwaka huu wamekubaliana kwa kukubaliana waseparate,,, it was the 14 feb, valentine day,,,, the had fun for last time,, just for bye bye.....akampa tiketi aende mbali angalau kwa 2wks... wasiwasiliane kabisa....ilibidi niche kwanza... coz niliona kama ni hadithi vile.....nikamuuliza imekwendaje?....... jamaa akasema kaka tumeshindwa na ndo iko moto moto sasa,,, anaweza hata kuomba ruhusa kazini kwao,, akashinda ofsin kwa jamaa kutwa nzima... mwanamke anasema it cant be....kajaribu kashindwa....kila anaemuona hafanani na jamaa yake.... jamaa kawa mdogo.... nilipomuuliza na wewe uko kwa wapi....kasema hata thijui.... kwa muda tuliokuwa pamoja.... kumuacha naona ntakuwa sio muungwana.. kama yeye aonavyo.... sijawa na washauri kaka yeye... c wajua wenzetu hawa mambo yao huwa wanaambiana.... but mimi wewe ndo wa kwanza kukutel.... na wife kaanza noma kuwa anahisi tumezaaa,, haiwezekani tuko pamoja for that long,,,, japo jamaa anakanusha kinoma......mfume dume kama kawa.....
Nilichomshauri mimi kama mimi.......amchukue huyo demu... waende wote church watubu kabisa,, na wakeshe maombini... then kila mtu asambaratike... wasiwasiliane kabisa,, akimkumbuka mwenzie... asali kimoyomoyo....wataweza........
Ndugu zangu wana JF, naomba msaada wenu na nyie tuwasaidie hawa ndugu zetu.....
Amen
NAWAKILISHA HOJA: