Mahaba ya dhati kwa mahabuba

Mahaba ya dhati kwa mahabuba

How do I see it?..hmm! I'm all game baby.

Will I do? Well, If I ever stutter, I'd put a slug in my skull.

Mahaba ya dhati.... yamenipitia. .........
Ooooh ....... mahaba haya.....
Haya mambo ya pwani hayo ndani ya dera lainii shurti kukubembeleza ukiwa umepumzika. .....

Sijui Ushakutana nayo haya mahaba ya pwani.... sauti sasa heheheheheh

We are in the same line bae....🙂🙂🙂
 
wtf-face-smiley-emoticon.gif

Hahahahhahahahaaaa where are you from !!???..... I though you've gone....

This time don't come up with your lines of philosophies cause I'll report you to my lawyer....

Don't say that I didn't warn you.
 
Hahahahhahahahaaaa where are you from !!???..... I though you've gone....

This time don't come up with your lines of philosophies cause I'll report you yo my lawyer....

Don't say that I didn't warn you.
SIKIO LA KUFA......crazy @$$ chick..........I'm just going to assume you're yet another person who hasn't found the space in her brain to consider where this(fantasy thing) is going.My ''wise'' advice has failed,recommended meds,have failed.You only need miracle,the final hope.
 
Waaalaaah haya ni mahabat tuu..... mambo ya kikubwa mbona yako kwa Salome heheheh anayeambiwa asonge ugali mara ainame ashike magoti mara kasimamiwa nyuma kama ngongoti.
Aliniacha hoi jamaa mmoja aliyeambiwa na mpenzi wake amuimbie wimbo wa Salome, bidada akitegemea kuimbiwa wimbo wa Salome alioimba Dai, hee!!! Jamaa si akaanza kuimba wimbo wa Salome sijui aliuimba nani ni wimbo wa zamaniiii siku hizi hata sikusikii tena, unaimba ..."Salome juu ya kaburi lako nalia kilio nakisikia. .. ............. kosa nilokufanyia. ....."
Bidada akabaki heeeh! !!
povu halikumtokaaa
 
SIKIO LA KUFA......crazy @$$ chick..........I'm just going to assume you're yet another person who hasn't found the space in her brain to consider where this(fantasy thing) is going.My ''wise'' advice has failed,recommended meds,have failed.You only need miracle,the final hope.

Get lost dude..... you gat nothing to Kasie. ...

Thanks for trying and show interest in being my hero but sorry to let you down..!!

Ciao!!🙂🙂🙂
 
Hiyo mistari ina harufu za Ikungulyabashashi

Hahahahahahaa usinikumbushe maana nikikumbuka sauti na lafudhi nalowa lowa najikuta nalewalewa nahorojeka

Nimetumbukia kwenye dimbwi la Ikungilyabashashi naogelea tuu rahaa sana.

Asante kwa ukarimu. ... 🙂
 
Get lost dude..... you gat nothing to Kasie. ...

Thanks for trying and show interest in being my hero but sorry to let you down..!!

Ciao!!🙂🙂🙂
i'm sure it'll all work itself out in time. Goodluck on your own!!!
 
Hahahahahahaa usinikumbushe maana nikikumbuka sauti na lafudhi nalowa lowa najikuta nalewalewa nahorojeka

Nimetumbukia kwenye dimbwi la Ikungilyabashashi naogelea tuu rahaa sana.

Asante kwa ukarimu. ... 🙂

Utarudi tena?
 
Mahabuba wangu.... mahabati wake Kasie.... Dadiii..... sauti yako tuu yanikosha na kunilainisha waalaah kila uwapo karibu yangu tabasamu halikauki usoni mwangu.... kwa mwendo huu ndita ntabaki kuziona kwa wamakonde heheheh (mniwie radhi wamakonde ni mfano tuu).

Nikiwa nakusinga basi sauti haiishi kutoka kinywani mwangu nikikuimbia huku natabasamu..... hahahahaa mahaba nibemendee niendelee kupendana na dadii wangu.

......" Yarabi iwe salama...
Salama usalimini. ..
Wasipate ya kusema....
Maadui asilani. .....

Mapenzi yawe ya daima. ...
Yasiingiliwe na mtu....
Waloomba tuachane. ....
Wasiweze kutupata katu....
Nyoyo zao ziwauume....
Kwetu wamepatoka patupu....patupuuu....

Inshallah nitadumu nae....
Hata wende kaburini. .......
..........................................

Oooh nyoyo zao zinaona haayaaa ......haya kama nini......
Kwake sipati karaha.....
Huyu ni wangu.......

Nitadumu nae kwa nguvu za maanani.

Walochongaa ......tunakomaa nao...
Na wachongeee....
Kimpango.....waooo......

Heheheheheee heheeiyaaaa iyanga iyanga...... kuluumpaaa......

Shurti mpenzi wangu kumkatia vipande vya nazi mbata na mihogo mibichi bila kusahau karanga mbichi....
Haina madhara Kasie nipo nimejaa teleee
Lile busu letu lile ndo nakuacha nalo dadiii. ....

Alamba Alamba aaammm aaammm...
Alamba Alamba tena...aaammm aaammm 😉😉😉
Uzee umekufikia unajiparaguza tu..!
 
Utarudi tena?

Ndio, nitarudi tena kwa mara nyingine. Nimepafurahia maana pametulia, ukarimu wa pale ndo umeacha sumaku mwilini mwangu ambayo itanivuta kurudi

"ehehehhe iiiooo iiiooo eehehehehee .... you are my everything... and everything is you...." (singing Dai song)
 
Back
Top Bottom