Hii awamu itazidi awamu ya kwanza, maana angalau hata unga wa njano ulikuwepo safari hii mtausikia tu. Awamu hii ya kutumbua tu haina shamba la mahindi hayo ya njano huna pesa inakuwa ulizoea za ujanja ujanja, mnyooke si mmepinda. Wakulima walizoea kupewa kugawiwa unga wa uji safari hii mnanyooka vitandani mwenu.Hajawahi kula ugali utokanao na unga wa yanga(chakula cha farasi)
Hajawahi kunywa chai sukari ni pipi gololi.
Hajawahi kufua nguo kwa kutumia magome ya miti...
Tusikufuru tujifunze kushukuru.
Wajaribu kuuliza waliokuwepo awamu ya kwanza hali ilivyokuwa
Unanitambuwa=unanitambua
Jenga hoja kwa utulivu usilete matusi ya kitejaHuna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Mwenzio Malisa kaleshaajiriwa na Manji na kaahidiwa mchango wa harusiHuna akili hata kiduchu
Wewe endelea kubugia upupu na vitundiMwenzio Malisa kaleshaajiriwa na Manji na kaahidiwa mchango wa harusi
Uliza wakubwa zako wakuambie..Hii awamu itazidi awamu ya kwanza, maana angalau hata unga wa njano ulikuwepo safari hii mtausikia tu. Awamu hii ya kutumbua tu haina shamba la mahindi hayo ya njano huna pesa inakuwa ulizoea za ujanja ujanja, mnyooke si mmepinda. Wakulima walizoea kupewa kugawiwa unga wa uji safari hii mnanyooka vitandani mwenu.
Kweli sasa hiv tunashida sana kuliko vipindi vyote. Najua unakula kwa ccm na ni Mungu wako lkn sss watu wa hali ya chin tunaishi kwa tabu sana.Soma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:
"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".
My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
Tundu anaingiaje hapa?NAONA MNAISAFISHA CCM YENU BANA.
LISSU: Kwa ufahamu wako uchaguzi huo wa
Oktoba 25, 2015 ulifanyika kisheria na ulifutwa
kinyume cha sharia na Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi ya Zanzibar Jecha Salum Jecha ni kweli
au si kweli?
SHAHIDI; Kweli
Lissu ni noma. Asante sikujua km hawa jamaa ni mashetan
Siku mkianza kutumia ubongo kufikiri mtatamani kufaWewe endelea kubugia upupu na vitundi
Teeeeeeeh teeeeeeeh teeeeeeeh nimekucheka kwa dharaaaaauuuuuuuuu lumumbaSiku mkianza kutumia ubongo kufikiri mtatamani kufa
Maskini wewe na ukoo wenu woteHuna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Relatively inaweza kuwa yes. Rejea sababu na mazingira yaliyosababisha hayo miaka hiyo kama haya ya leo yanaweza kuwa justified. Nilikuwepo enzi ya unga wa manjano kupanga foleni maduka ya ushirika lakini kulikuwa genuine and justifiable reasons. Huyo ajuza tatizo lake ujuaji umemzidi.Sio kutaka watu waishi kama enzi za zamani lakini hii ni reply ya hoja kuwa awamu hii yaani ya tano ya utawala kuna dhiki kuliko awamu zote zilizipita.
Tehtehteh! Kimbwega cha lumumba leo kimeingia 18. Haujui tu, humu jf kuna watu tunakujua vizuri sana, kwa sababu za msingi kabisa tumekuwa tukikuheshimu lakini haina maana kwamba hatujui ya kukwambia. Changanya ubongo wako vizuri.Si ulipelekwa zoo, ni heri ya nyumbu anaeishi Afrika kuliko anaetamba kuishi zoo.
Relatively inaweza kuwa yes. Rejea sababu na mazingira yaliyosababisha hayo miaka hiyo kama haya ya leo yanaweza kuwa justified. Nilikuwepo enzi ya unga wa manjano kupanga foleni maduka ya ushirika lakini kulikuwa genuine and justifiable reasons. Huyo ajuza tatizo lake ujuaji umemzidi.
Tehtehteh! Kimbwega cha lumumba leo kimeingia 18. Haujui tu, humu jf kuna watu tunakujua vizuri sana, kwa sababu za msingi kabisa tumekuwa tukikuheshimu lakini haina maana kwamba hatujui ya kukwambia. Changanya ubongo wako vizuri.
Halafu ukiitwa Central kutolea maelezo kauli yako utasema mpinzani unaonewa.Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Kuzeeka KubayaHujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Hiyo foleni wewe ulipanga lini kama sio umbea.Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Usiongee usivyovijuwa.
Nami nilikuwepo. Sikuhadithiwa. Huwezi mujua justification iliyopo kwasababu ulisomea ufundi redio, utajuaje mambo ya kiuchumi. Sijui na wewe uliandika research proposal ya maganda ya mpapai kutengeneza sabuni! Teheteh!Nenda wewe, hakuna justification yoyote ya maana kwa dhiki zile. Nilikuwepo.