Wewe unajua kitu gani wewe?kawadanganye wasiyo jitambua kama weweHujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Ndio uwezo wake umeishia hapo tuAisee andishi lako haileweki , ebu tafuta mtu akuelekeze labda ulikuwa na point ya maana.
Nyumbu ni weweSoma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:
"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".
My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
Tunaishi maisha ya shetaniBaadhi ya nyie watoto wa 90s huwa mnaandika utumbo sana. We unga wa yanga unaujua, ushaona mtu kavaa kaniki na unajua kuwa ufundi viraka ilikuwa kazi maarufu sana??
Nyumbu ni wewe
HujitambuiSiyo nzi wa kijani tena? Rangi yake inavutia sana mpaka nimefikia kuitwa "nzi wa kizungu". Ulishasikia kuna nyumbu wa kizungu?
Wewe unajua kitu gani wewe?kawadanganye wasiyo jitambua kama wewe
HujitambuiWewe ujuwae mbona huyaleti uyajuwayo?
HujitambuiWewe unanitambuwa inatosha.
Mimi na wewe nani Nyumbu halisi? Nyumbu wanaishi huko Afrika kwenye Joto huku hakuna Nyumbu. Shida inaweza kuwa na tafsiri yenye mtizamo tofauti kwa mtu tofauti na mazingira tofauti. Maisha ya ujanja siyajui, sijawahi kuyaishi na wala sitayaishi. Dini yangu haukunifundisha maisha hayo na pia haikunifundisha unafiki. Nani anaongoza Taifa lenu la Tanganyika mimi hainiathiri chochote. Hilo ukae tena ulijue vizuri ajuza weye.
Hajawahi kula ugali utokanao na unga wa yanga(chakula cha farasi)Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
He just a kid if not agewise then mentally.Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Usinikumbushe maisha ya Tanzania serikali ya awamu ya kwanza mara baada ya vita vya kagera tulipoambiwa tufunge mikanda sisi wengine tuliyayaona ya huko ukituambia eti leo kuna dhiki kuliko awamu zote tunabaki kushangaa.Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Unanitambuwa=unanitambuaWewe unanitambuwa inatosha.
Sio kutaka watu waishi kama enzi za zamani lakini hii ni reply ya hoja kuwa awamu hii yaani ya tano ya utawala kuna dhiki kuliko awamu zote zilizipita.Kwahiyo unataka tukaishi huko au? Nenda kaishi peke yako maisha hayo, tushapita. Unafanana na mzazi anayelinganisha maisha aliyoishi yeye miaka ya 40 kwenda kusoma chini ya muembe na miaka hii?
Rami ndio nini?Kuna watu wamepata elimu na bado vilaza harafu wewe utakuwa ni kilaza kiwango cha rami!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]